Kwa msaada ya kuchorewa ramani + ushauri wa namna bora ya kujenga kwa gharama nafuu toka kwa Mtaalamu @nyalut23, Finally leo tumemaliza ujenzi wa Nyumba hii ๐ kwa gharama ya Tzs 24,547,000/= kila kitu hadi Finishing.
NB: Kila jambo linawezekana ukiweka nia na uthubutu
Kama anakuja kucheza LB sawa , maana CB bado ndoto hazijafa kwa Schlotterbeck๐
Schlotterbeck : LCB
Lukeba : LB
Huo upande hupiti na ukienda ku press hupati mali๐
Zamani maisha yalikua raha sana Channel 10 walikua wanaonesha UEFA CHAMPIONS LEAGUE, TBC walikua wanaonyesha EPL๐๐๐
Mechi za Kariakoo Derby Simba vs Yanga tulikua tunazipata STAR TV