Sio kwamba tunampambania Lissu au Heche
Sio kwamba tunamchukia sana Mama Abduli
Sio swala la CDM vs CCM
Waungwana tunaposema REFORMS, ni kwamba tunaipambania TZ🇹🇿
Tunapambania leo yetu, kesho yetu, na kesho ya vizazi vyetu
Kama umeamka salama sema — NO REFORMS NO ELECTION
KWANINI WANAOFANIKIWA NI WACHACHE..?
Kila siku mamilioni ya watu wanaamka mapema, wanapambana lakini bado wanaishi maisha ya kawaidia ila awafanikiwi kwanini.?
Hizi hapa ni sababu kwanini wanaofanikiwa ni wachache
🧵 thread 👇
Kujifunza vitu mbalimbali mtandaoni ni silaha kwenye ukuaji wako.
Lakini CONSISTENCY ni muhimu zaidi kuliko idadi ya kozi unazosoma.
1) Anza na dakika 30 tu kwa siku
2) Chukua notes
3) Tafuta mtu wa kujadili naye.
Tumia kile ulichojifunza kwenye maisha halisi!
Wananchi wamesema kwa sauti kubwa kwamba bila mabadiliko hakuna uchaguzi.. kujifungia ndani na kufanya kiburi kwamba mnaweza kufanya uchaguzi na vibaraka wa serikali bila kushirikisha Watanzania wote itakua mbaya sana kwa serikali hii.
#NoreformsNoelections
Hifadhi hii video na mtumie rafiki yako ambaye anapenda biashara
Simba mwenye njaa hasubiri msitu utulie
Na wewe pia usingoje hali iwe kamilifu ili ubadilishe mbinu zako za biashara
Hizi ni mbinu tatu ambazo wajasiriamali wachache sana huzitumia lakini ndizo hutofautisha biashara ya kawaida na chapa kubwa
Tip 1
Usitangaze tu bidhaa tangaza matokeo yake
Usiuze sabuni uza ngozi safi harufu nzuri na kujiamini
Tip 2
Kusanya database mapema kabla ya kubuni chapa
Simu zao email zao usiuze kwa jumla bila kujua unauzia nani
Tip 3
Fundisha kabla hujauza
Mteja anayejifunza kutoka kwako huanza kukuamini na mwisho hununua kwako
Usipoteze muda ukichora logo bila jamii
Usichekeshe tu kwenye mitandao penda kufundisha pia
Hifadhi hii video shiriki na mtu mmoja unayemjua anahangaika na biashara
Wewe unatumia mbinu ipi zaidi kati ya hizi Tuambie kwenye comment
//
Save this video and send it to a friend who runs a business.
A hungry lion doesn’t wait for the jungle to settle.
And neither should you. If your business is always moving, your strategy should be too.
Here are three uncommon marketing tips that separate average sellers from real brand builders:
Tip 1
Don’t just advertise the product — show the result
You’re not selling soap. You’re selling clear skin, a fresh scent, and confidence.
Tip 2
Build your database before you build your brand
Start collecting phone numbers and emails early. Focus on your community before your logo.
Tip 3
Teach before you sell
The customer who learns from you is the one who buys from you. Don’t just entertain — educate.
Most people don’t do this. That’s your opportunity.
Save this video, share it with someone who’s trying to grow their business, and tell us in the comments
Which tip are you using already?
#marketing #digitalmarketing #socialmedia #branding #marketingtips #contentmarketing #advertising #marketingstrategy #smallbusiness #entrepreneur #socialmediamarketing #onlinemarketing #marketingdigital #business #seo #marketingagency #startup #brandingstrategy #marketingonline #contentcreation