Uzii ๐๐๐๐โ๏ธ๐
vitu vya kuangalia ununuapo Gari mkononi
Unaponunua gari lililotumika bongo unatakiwa uangalie mambo mengi sana kwa sababu hapa ni sawa na kubet.. mpira wa man u na Everton
Kwanza usipende kununua gari lililooshwa injini mchana na wewe ulinunue jioni
Aina za Injini mazda cx5
Mazda CX-5 inakuja na chaguzi mbalimbali za injini, kulingana na soko:
1. SkyActiv-G (Petroli):
2.0L (155-165 hp)
2.5L (184-250 hp, kulingana na turbocharged)
2. SkyActiv-D (Dizeli):
2.2L (148-173 hp)
Urgent money needed
BMW 3 Series
Automatic
Year 2007
petrol
cc 1990
Two doors
Fog Lights
Leather Seats
Clean inside out
Goes for 15 millions
Contacts: 0623553703
Ushawahi kutumiwa
"Mimi mganga wa kienyeji nina dawa ya utajiri wa haraka. Tuma hela kwenye namba hii tuanze kazi"?
Hawa jamaa wanakera sana na wamewaliza wengi sana wanaopenda utajiri wa haraka ๐
Afadhili tumepata kiboko yao Airtel Spam Alert
Hii huduma ni ya kwanza Afrika inatumia Akili Mnemba (AI) inakusanua papo hapo inapoingia meseji yenye viashiria vya kitapeli
Hamia @airtel_tanzania usipigwe kizembe hii huduma hii Inafanya kazi automatically, haina malipo wala Hakuna kujisajili ni bureee
Kuanzia leo sema #Sitapeliki #KataaMatapeli
#AirtelSpamAlert
Yafahamu Makosa Makubwa 3 ya Kuyaepuka Wakati Unanunua Kiwanja...
Kuwa na uwezo wa kuepuka hasara ya FEDHA na MUDA kwa kuyafahamu makosa haya 3.
Ukielimika tafadhali sana, mwelimishe na mwenzako.
๐
https://t.co/lfTGakFLrm