@Branicemercy Walikataa hadi title deed ya nyumba inaleta income ya more than 180k, a month. Ilibidi nifunge hadi hizo accounts zangu kwao pia coz I can't support them yet they don't give it back.
@GudaExperience@TheNairobiTimez Nililipa mahari na bado tukaachana. Let me date whoever I date pia yeye date mwenye anataka lakini ajue ni kukopesha nimekopesha sababu kaburi ni kwangu.
@Venaziosteve@abuyamasta@ntsa_kenya So sisi ni wajinga tukitweet? Hatuezi tuma picha Kwa @ntsa_kenya kama mtu amepewa ruhusa na askari ya traffic na kukiwa na sababu ya kupewa hio ruhusa ya kukiuka sharia buana. We enda kaskie vibaya nauko. We'll clean this city whether you like it or not.
I applaud this Man for standing firm against this matatu (KCA 527T from Wazito Sacco) that was using a pedestrian walkway at Allsops, Thika Road. The conductor shouted threats like the mortuary not being full but the man never bought fear. @ntsa_kenya why have normalised this?