@dondiego12245@SimbaSCTanzania Unataka kupewa??
Yaani wewe unaisapot TIMU yako huku nafasi inakuuma?? ๐๐๐.
Sisi wenzako kununua Bidhaa za club tunajiona fahari, ndio maana jezi zikitoka2 tunaruka nazo bado ZAMOTOMOTO,, sio mpaka zishuke bei.
@chapanombombwi Hilo la dharau Mimi nililiona Kwenye kampeni zake za uchaguzi, namna alikuwa anajinadi Kwenye majukwaa mengi nikama alikuwa2 anazungumza-ILIMRADI
@goldenmvrs Asee nikweli kabisa sijui kwanni Yaani mwanaume unaweza ukasema huyu ndio mkewangu nisipompa fura Nani atampa?. Hapo yeye anakuwa na mindset kichwani kwamba huyu Kwangu hachomoki