Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Albert Msando, amesema hatashirikiana tena na Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Dar es Salaam, akipinga hatua ya kuvunjwa kwa vibanda vya wajasiriamali vilivyokuwa vimejengwa eneo la Mbezi kwa Msuguri, vilivyobomolewa usiku wa kuamkia leo.
Akizungumza na wananchi hao leo, Novemba 27, 2026, Msando amesema hakuna maelekezo yoyote kutoka kwa viongozi wakuu wa Serikali yaliyotolewa kuhusu kuvunjwa kwa vibanda hivyo.
Aidha, ameliagiza Jeshi la Polisi kupitia Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni (RPC) kutotoa vibali vya ulinzi kwa mtu yeyote atakayetaka kufanya ubomoaji wa vibanda hivyo.
"Katika hili nitatengana na yoyote ambaye anathubutu kukanyaga hati ya mwananchi. Haiwezekani wananchi wanaamka asubuhi wanakuja kujitafutia riziki hapa. Palikuwa pachafu, leo tumepaboresha, tumepasafisha, mtu anakuja kubomoa usiku," amesema Msando.
Hata hivyo, Msando amedai kuwa TANROADS waliombwa kutoa vibali lakini hawakujibu maombi hayo. Kutokana na hali hiyo, ameitaka Kamati ya Baraza la Madiwani kukaa na kumwita mwakilishi wa wakala huyo ili aeleze sababu za kutokutoa vibali hivyo.
Ngoma ilianzia Arusha ambapo Makonda alisimama kwenye mimbali na kutoa nasada zake akiwataka viongozi wa kanisa na waumini kutenga masuala ya ibada na siasa za kulaumiana
sik chache baadae Bagonza akajibu kuwa Kanisa limenajisiwa kumruhusu Makonda kukaa kwenye mimbali na kuhubiri
PAMEANZA KUCHANGAMKA🚨
PhD Zimeanza kuzungumza hadharani 🔥🔥🔥🙌🏾
Maneno ya Rev.Dr.Owdenburg Mdegela (PhD), Baba Askofu Mstaafu wa KKKT Dayosisi ya Iringa kwenye ibada maalumu ya Jubilee ya ujio wa Wamisionari wa Kilutheri Tanzania, iliyofanyika Dayosisi ya Kati (Singida).!
Nimekua kwenye medical field kwa miaka kadhaa ni mara chache sana nina dondosha chozi ila leo nimelia tena sio kwa sababu nipo na mgonjwa apana nimelia nikiwa na simu nikiiangalia video hii.
Poleni Familia na watanzania wenye upendo hongereni Samia na CCM hongereni sana.
@Intel__bloom Ukienda pale Kanda ya kati ukishapita Dodoma kwa mbele ukienda unapita iringa,mbeya unaingia nakonde Zambia unapiga mishe za copper unarejea DSM na v8 Yako safi,watu oooh freeman katoa sacrifice kumbe ni juhud zako tu,mali utaipata shambani mjini utalima lami!