Magazeti
Vuta n'kuvute ndani ya serikali ya Rais Ruto. Kunani? / Rais wa Rwanda, Kagame kuwania urais kwa muhula wa nne.
#JamboKenya / @MelodySinzore1@VincentAteya
Mandonga alianza pambano hilo kwa tambo zake za vitisho huku mashabiki wa nyumbani wakimshabikia lakini Mganda Golola aliyetulia alimpiga na kumuangusha katika raundi ya tatu "Technical Knock Out"
#OngeaUsikike
https://t.co/1ukQu42kk2