Kuna mambo ingine kama mwanaume,ata bibi yako ikue unapenda yeye namna gani, hufai kuitikia ata kidogo. Sasa mwanaume unaoga,unajifurishia manukato,ati umeenda birthday ya rafiki ya bibi,ati sababu βit means alot to herβ. Bwana these Town bred men are becoming very useless. Huko unafanya nini sasa jameni? You must understand that women are very indicisive,half of the things they ask of you,they only ask them to test you,not because they mean them
Mimi baada ya kukataa kupeleka hii bibi yangu baby shower sunday,baada ya miezi kadhaa alirudi round two,kuendelea kunijaribu,kama saitan pale Mount Kurutu akijaribu yesu. Sasa akaleta nguo ya kitenge ya green ati ameshonesha,anataka tumatch sunday pale family gathering. Na unajua shida ya wanawake ni kulia,nikajua hapa nikikataa hii upus,machozi itamwagwa sijai ona. Nikasema sawa
Lakini na mimi Hiyo usiku nakwambia saa nane niliamka kupanda ceiling kama mchawi,kuficha Hiyo mafitenge. Asubuhi tulikua hapo tunaulizana nguo ilienda wapi na tuleweka apa jana usiku. Hivo ndio niliponea mtego ya saitan. Bwana as men we must stay dangerous,ukisubaa kidogo unapata bibi aligeuza wewe kafukuswi bwana. Eii! Khabusie!
@UDAPartyKe@rigathi You argue with your buttocks Kenya is third world country and that's a first word country you're comparing Kenya π°πͺ tu waaaaaaantaaam
All Uhunye wanted us to do was to drink his milk. Huyu jamaa anataka anataka tuzaliwe kwa hosi yake, twende kwa nyumba zake, twende shule zake, tufanye kazi kwa kampuni zake, tulipiwe kwa bank yake, tuchungwe na goons wake, tukule mayai zake, tupate food poisoning twende kwa hosi yake tutumie insurance yake isigothrough tudedi tupelekwe mochari yake. We can't do another 5 years bruh.π«π«