@MarekaMalili Watu wasiochojua ni kwamba,Mungu ,Ulimwengu taifa,familia,vyote vinafanya kazi in hierarchy,a broken family,means broken society and nation.
Hakuna janja janja kwenye hili.
Hatuwezi kwenda tofauti na universal law bila ku pay the price.
@scarfacerizla Unaweka general conclusion,tuambia in statistics kati ya ndoa 100 ni ngapi zina izo changamoto ulizosema hapo,hatuwezi make conclusion based on general opinion.
Halafu pia tuambiwe sababu ya izo violence ni nini hasa.
Fact and context matters.
@Godfather24y8 Pale walishapitaga madogo kina Tahit Chong,Em tujaribu kuingia mkenge hapa kwa huyu Mmorocco,sema team yangu siku hizi haisajili tena kwa Mihemko๐๐
@JMariotz Ndio uhalisia wenyewe,Kama nchi inabidi wawe na project tena waanze na ma coach kufundisha ile samba.
Wametuletea Carlo anafundisha haramball,toka lini Brqzil wakacheza haram ball?๐๐