Wekeza nguvu na muda wako kwenye kile kinachokupatia riziki na maisha, na wekeza muda wako na Nguvu kwa wale wanao kusaidia na kukuongoza katika safari yako ya maisha. Tofauti na hapo, punguza au ondoa kabisa. Hii ni tiba bora kwa maisha marefu, yenye furaha na msaada.
Shetani anavyokuwa ajabu, muda ambao tunautumia kulalamika, kuelezea matatizo na kukaa bila kufanya chochote, ni mwingi sana kuliko muda ambao tunautumia kuchanganua mambo, kuchakata, na kutafuta suluhisho la matatizo yenyewe. The devil really works.
I think one of the reason to why women live longer than men, its how they find different ways to celebrate life more than men. Ukiangalia social event zao na namna wanavyoshiriki utaelewa kitu. Sisi tupo serious tu na kazi na maisha, sonona na low life span ni marafiki zetu.
Ukurugenzi/Uongozi ni mzuri sana ukiutazama kwenye movie 😀au kumtazama mtu umjuaye kwa picha ya nje, lakini uhalisia wake 🙌🏾. Hakuna maneno yanaweza elezea. Tuwaombee sana viongozi wetu au maboss zetu.
In this sometimes selfish world, be true to yourself. Invest in your growth, strive to be the best version of yourself, prioritize your well-being, and above all, seek to discover more about who you are. Everything else should be seen as an addition.
Katika mafanikio, sio lazima kila mtu afanye kitu chake ndio afanikiwe, unaweza kufanikiwa tena sana hata kwa kufanya kazi zilizoanzishwa na wengine, iwapo tu utajua nafasi yako, utajituma na kuweka weledi mkubwa hapo. Vijana tuna kitu kikubwa cha kujifunza hapa.
Nilipita mahala nikasikia waajiri wakijadili changamoto za kazi, hoja yao kubwa nilisikia kuwa “Ajira ziko nyingi lakini watu wa kuajiriwa ndio hakuna” nimekaa hapa naona kama hili lina ukweli ivii.. tena kwa wakati wetu huu🤦🏽♂️.. vipi maoni yako..
Kama kuna kitu tunapaswa kuwa nacho makini sana ni habari tupewazo juu ya watu fulani, mpasha habari hufikisha habari vile inavyompendeza, wengi wetu tumefarakanishwa na watoa habari, muda mwingine mpasha habari husema yale yaliyomo moyoni mwake kwa kivuli cha mtu mwingine.
Kutambua nafasi yako katika maisha ya mtu ni muhimu sana. Rafiki wa ndg yako si rafiki yako, rafiki wa rafiki zako sio marafiki zako, kinyume cha haya husababisha unafiki, uongo, umbea na mambo mengi ambayo hayana maana. Tujifunze kuheshimu mipaka dhidi ya marafiki na ndugu.
One thing have learnt throughout the year is that… LIFE IS HAPPENING. Be aware, don’t fix yourself in some position there is nothing permanent.. Be easy, Be stiff, Be unpredictable, so as it happens you don’t loose your inner self.
And with the new generation, alot of us are living unhappy life. Streets has alot of walking dead bodies, people are hurt, lost trust, feeling useless, pls let’s be kind to one another, and let us Learn to walk away frm pple’s lives without hurting them or making them unwanted.
Every bad end of a person dealing with mental health problem there was a time they had meaningful life they shared with close pple, lover or fam. Please do not be that person causing someone to rethink abt his/her life worth living. We hurt others feelings, disrepect, bully…
Life is like a gym. And we are body builders so i take that, some are carrying light weight, some heavy etc. The harder the pain the more results are seen and viceversa. You can’t be carrying 10Lb and except to have a John Cena typa body..
Happy father’s day to all responsible Men in the world, who strive to raise and protect their children ( both biological & adopted). And to all of us, let’s continue to honor our Fathers and guardians so we may live to witness the greatest. All love.
Wengi huwa tunajiuliza kwann kwenye nafasi za kazi huwa kuna kipengele cha work experience; hiki huwa ni kipimo tosha cha uvumilivu, hekima, busara, utayari wa kujifunza nk. Tusikibeze hiki bali tutafute namna tunaweza kipata aidha kwa kujitolea nk.. ni muhimu sana.
Ni kweli kuwa siku hizi ajira zimepungua/ kuisha kabisa.. lakini pia watu wakuajiriwa nao siku hizi wamepungua/ wameisha kabisa🤦🏽♂️. Vijana tuna mihemko sana na tuna haraka sana ya maisha. Hatuthamini utu wala kesho zetu. Mungu atusaidie sote, waajiri na wajiriwa🙏🏾.
Most successful people we see them in our eyes are facing so many battles inside. It’s not easy being successful, if you happen to be close to them.. show them kindness, respects their path. If you can’t help a thing..stay away from them. Mental health is a real thing.