@ThatBoyKhalifax@zahratunda Bora tumpe maua wifi yetu akiwa hai ayaone.Keep it up Zahra you defend your friendship at a high cost because you understand him
@AbroadTanzania Ni muhimu kuwashauri watoto kuwa aliyeweka mfumo wa elimu anajua kwa nini umalize form 4 then form 6 ndio chuo.Kwa nini hawakusema baada ya form4 wote waende diploma.Tuwasidie hamna short cut
@fatma_karume Na pia kutumia fadhila kama fimbo ya kumchapia na kukiuka haki zake za https://t.co/RAnxPEzVdV is so low shangazi inakera sana ni kama kwenda kutoa misaada hospital na camera na picha kila mahali