Kwa mara nyingine tena imekuwa heshima kubwa sana kuingiza sauti (voiceover) kwenye kazi hii, inayoonyesha kazi nzuri anayoifanya Rais wangu.
Pia ni heshima kwa kazi hii kuwa ‘posted’ kwenye kurasa za kijamii za Mama Samia.
🇹🇿
#glorypoetry#Voiceover#nowwriteyourOwnstory🍃
Nimeutazama ujumbe wa Sylvester na Mama yake kuhusu uamuzi wa kutoa mikopo kwa wanafunzi wa aina yake vyuoni unavyogusa maelfu ya familia na kuandika historia mpya. Maelekezo na mwongozo wangu ni kuhakikisha mpango huu unaendelea kwa ufanisi na vijana wengi zaidi wananufaika nao. Nakutakia kila la kheri Sylevester na wenzako wote katika vyuo mbalimbali nchini.
Jambo jema kuona uamuzi wa kutenga fedha na kuwapa mikopo ya elimu wanafunzi wa fani za kipaumbele wa Vyuo vya Kati ngazi ya Stashahada unavyoleta mabadiliko na matumaini mapya kwa wanafunzi wenyewe, wazazi na familia zao.
Derick Ndosi ni sehemu ya wanafunzi 10,000 walioko vyuoni kupitia mpango huu mpya. Nimefurahi kumsikiliza yeye na mama yake, Bi Jubilata Mangowi namna walivyoupokea na matarajio yao.
Imekuwa ni heshima tena kuingiza sauti(VoiceOver) kwenye kazi hii ya kuhusu kazi nzuri anayoifanya rais wetu kwenye taifa letu la Tanzania.
Kazi hii ya sauti imekuwa posted kwenye ukursa wa Mh. Dr. Samia Suluhu Hassan (@SuluhuSamia)
#glorypoetry#nowwriteyourownstory🍃
Ni vizuri kupanga vitu, kwasababu hivyo ndivyo utakavyoweza kujua wapi unatakiwa kufika.
Ila watoto wa Mungu, mpangapo michakato yenu kusiwafanye mkapuuzia ratiba ya Mshua(Mungu).
#glorypoetry#mwalimuglorypoetry#nowwriteyourOwnstory🍃
Babygirl,
not all men are trush, it’s just that you’ve poor choice in men!
Heal first, discover you & change your choices aligning them to where you want to go.
All the best!
#glorypoetry#mwalimuglorypoetry#nowwriteyourOwnstory🍃
A beautiful dress can be as exciting as a poem. Rock on a beuatiful dress as mine from Qlata's fashion
Nilifikishwa salama na Nexa_Travels Mawasiliano yao; +255 758 676 987
+255 719 234 194
#glorypoetry#nexatravels#favouritepoet#nowwriteyourOwnStory🍃