@Taimweusii@mangileweri@godbless_lema Aaaaah uwe upo since 90's au 2K kwangu sio hoja endelea na mambo yako ya rangi rangi me Kwetu mwiko so km unaSurport endelea si umeshindwa kukaza kijana yan me chochote chenye dalili ya Ushoga ni mwiko hata wewe mwenyew kwangu mwiko.
@_Tajiri__@godbless_lema Ww kama unahis yuko sawa huezi elewa point yangu ni nini kaa chini fikilia utaelewa au unamiliki NGO's na ww ushaanza kupewa misaada boss. Cna ufaham mkubwa kuhusu Tz Consitution bt ninachoelewa hakuna sehem inayopinga wala inayoruhu ushoga. Nnachojua Tamaduni zetu LGBT MWIKO.
@ZenjiboyZnz@Roma_Mkatoliki Kuna muda unakua kama mpumbavu asa andiko la Roma na dini yetu vinaingilianaje huna cha kufanyia Comparison nataman kutukana vizuri acha niishie hapa usitumie dini Yangu hivi tena leo nimekusamehe