Ili tasnia ya habari za Michezo zizidi kukua na kupata ubora hapa πΉπΏ , @MickyJnr__ anapaswa kuwa mfano na chachu ya waandishi wetu kukua,wengi wao wanamkataa kwa chuki tu zisizo na mashiko, lakini mwamba anaupiga mwingi,wakati mwingine kuiga sio ujinga,umieni ili mfanikiwe...
Walichokifanya Makolo kupeleka mechi kwenye kiwanja kibovu Yanga tuliwahi kujaribu hiyo mbinu zama za giza wakati tunacheza na Pyramids. Ndugu zetu wapo nyuma miaka zaidi ya 8
Jana na leo tumepata mfanano wa picha jinsi itakavyokuwa pale wakitwaa ubingwa EPL au UCL au yote.Tutatolewa maneno mabaya humu .Mwenzenu nilishajiandaa tangu msimu juziπ
Kuhusu EPL nawashauri wapinzani wenzangu make peace with it ( kapuni tayari ) kule UCL wekeni sana sala .!