Wiki mbili nyuma nilianzaga tizi jioni na mwanangu mmoja hapa magetoni machizi wakawa wanarusha jokes kibao
Baada ya kuona consistency siku mbili hizi wameanza kuongezeka ngoja kesho tuwapige tifu la kufa mtu halafu jumapili niwaambie hakuna mazoezi waugulie maumivu
#MCHUJO๐