Haya sasa, baada ya kulipwa pesa za kuichafua Tanzania, hatimaye sasa mnatimiza masharti na matakwa ya mabwana zenu. Daaah, eti test my Lipsππππ
Waliochochea maandamano wako zao nje ya nchi, na wengine wamejufungia tu ndani wakati watanzania wanahangaika na usafiri baada ya kuchoma miundombinu muhimu.
Tunawajua mliopo nyuma ya fujo na vurugu, na Kwa sasa mmejificha na kunyamaza kimya mkitazama watanzania wanavyoteseka. Hakika kupanga ni kuchagua. Mnachokifanya CHADEMA na hao wanaharajati wenu kinajulikana.
Hongera sana Alphonce Simbu kwa Medali ya Dhahabu ya ushindi wa Mbio Ndefu za Mashindano ya Kimataifa ya Riadha ya Tokyo. Ndani ya saa 2:09:48 umeandika sehemu ya historia ya Taifa letu.
Kama nilivyokusihi uliposhika nafasi ya pili kwenye Boston Marathon mwezi Aprili mwaka huu, ushindi wako ni matokeo ya nidhamu yako ya hali ya juu na kujituma kwa bidii kwenye kazi. Umekuwa mfano bora kuhusu nguzo hizo mbili za kazi kwa wanariadha na wanamichezo wenzako, na hata kwa wasiyo wanamichezo.
Endelea kuipeperusha vyema na kuiheshimisha bendera ya Taifa letu.