Passionate Tanzanian | Lover of God & People | Founder & Vision Bearer of The Bible for All Tanzania | MUHAS Alum | Philanthropist | Transforming Lives | ๐น๐ฟ
Let those who mock me continue in their mockery, for I trust that God is in the process of shaping and elevating me towards my destiny.
#GodlistenGiven
#0753158380
Mussa aliishi Miaka 120. Lakini alikuwa na season kuu 3 zilizogawanyika kwa miaka 40.
S1- Aliishi ktk Ufalme wa Kimisri, KUSUDI lake ilikuwa azijue ITIFAKI na TARATIBU zote zi kifalme kwa ajili ya matumizi ya baadae.
S2- Aliishi kwa Wamidiani ili akajifunze UNYENYEKEVU na UONGOZI, katika Maisha ya kufilisika kabisa, ili aondoe EGO ya kifalme aliyokuwa ameadopt
S3- Alipotimiza Miaka 80, ndio alienda kutumikia KUSUDI lake ambalo alimtea Duniani la kuwakomboa Waebeania kutoka mikononi mwa Farao.
Lakini kosa moja tu alilolifanya, lilimfanya ASHINDWE KUFIKIA HATMA yake. Pamoja na kwamba Mungu alimsamehe, lakini GHARAMA ya lile kosa ilimgharimu kuona Nchi ya Ahadi kwa mbali.
Je, ushawahi kufuatilia PATTERNS ZA MAISHA YAKO? Kama hujawahi fahamu humo ndio njia ya KUSUDI la wewe kuletwa Duniani.
Zaburi 27
13 Naamini ya kuwa nitauona wema wa Bwana Katika nchi ya walio hai.14 Umngoje Bwana, uwe hodari, Upige moyo konde, naam, umngoje Bwana.
UWE NA SIKU YA BARAKA๐๐น๐ฟ
SEPTEMBA NI LANGO JIPYA LILILOWEKWA MBELE YAKO KWA UKUAJI NA MAFANIKIO. NAKUOMBEA KWA NEEMA YA MUNGU UTAZAA, UTAONGEZEKA, NA UTATAWALA SAWASAWA NA NENO LAKE KATIKA MWANZO 1:28. โจ๐
- GODLISTEN GIVEN
If somebody asks you: "What do you think of same-sex marriage", you can go: "Well, it doesn't matter what I think about it. Here's what Jesus said about it. He said that marriage is between a man and a woman. So, if you want to argue with that, you can argue with Jesus, not me.
1000 Bibles just delivered!
Glory to God, these Bibles will go into the prisons and jails. They will lead countless men to faith in Jesus Christ.
Generously provided by Breaking Chains International, Winter Haven, Florida.
Please consider giving my X a Follow and this post a Like in support of the Gospel.
@fightoffaith Glory to God ๐
So encouraging to see this, @fightoffaith As part of The Bible for All Tanzania, itโs my prayer to see Bibles reaching prisons and jails here in Tanzania ๐น๐ฟ and across East Africa.
May the Lord stir more hearts to support the spread of His Word.
#TheBibleForAll
@nakadori Kwanza nikuponge sana Dr @nakadori kwa kazi hii kubwa na ya kihistoria. Katikati ya mchakato huu, nimevutiwa na kujifunza mengiโumekuwa mfano wa kuigwa kwangu na vijana wengi. Mungu akubariki na kukuimarisha zaidi. ๐๐น๐ฟ
Prayer is still the most powerful agent of change in this world! Nothing, & no one is off limits 2 it! So, pray through it, pray about it, pray for it, & watch God work things out 4 u! Something good, miraculous, & awesome is about 2 happen 2 u, with u, 4 u & those u love!
๐ 1 Juni 2025
๐๏ธ #UkoWapiNaUnakwendaWapi
Mwaka 2025 unaelekea katikati.
Swali moja muhimu:
Uko wapi rohoni, kiakili, kifamilia, na kimaisha?
๐๐ฝ