@MiriamMkanaka Kwani ulilipia 28,000 kwa mechi moja tu mbona kuna option yakulipia kidogo tu kwaajili ya game unayotaka ? Hii milio haituhusu mliyataka wenyewe kwanini mtume wahuni jana ?
@rollymsouth Mafanikio ya njia zamkato hubeba dharau ,dhihaka na kumfanya mtu mjuaji wakila jambo huu ni ulimbukeni uliojificha kwenye mafanikio huwezi kumdhihaki mtu vile kama kweli ni mtu uliekamilika
@EsirEid Kuna namna ukimuangalia Mbarikiwa kwa macho ya ushoga utaona kazingua mara sijui mapazia mara vitenge ila ukimwangalia kiume kweli kapendeza sana kwa mazingira yale nilazima ajitofautishe kama presenter na mwandishi wa habari
@privaldinho Wewe msenge acha kuwaona utopolo wenzio vilaza zaidi wakati ligi imeanza mlikuwa na tofauti ya point 6 na @SimbaSCTanzania hivi hujiulizi tu mpaka uwadanganye watu ?