@am_gody 17 Kwa niaba ya wanawanya wenzangu nachukua nafasi ya kipekee kuwatakia @SimbaSCTanzania ushindi wa kishindo..simba ikishinda Tanzania 🇹🇿 imeshindq🙏
@babalao__ Alovyorudi 🇹🇿 alikuta kwa ajili ya shukurani amjengee hospital alikuta yule bibi ameshafariki dunia .kuna verse ina sema ungelikua na simu ..Facebook..twitter hata sura ulificha hiii song. Ni dedication kwa mtaalamu wa tiba sio wimbo wa dini wa mapenzi #am gody_17
@babalao__ Ualisia wa huu wimbo wa #tubonge aliutoa kwa dedication ya dactari wake aliye muuguza kipindi alidondoka gorofan kwa imani za kishirikina sasa huyo doctor wa alikua anatibu kwa njia ya asili na metatation ..Jose alitibiwa Tanzania 🇹🇿 muleba sasa Jose alipopona alirudi tena 🇹🇿