366/366
"Hawajawahi kumkosa MTU waliyemlenga mikuki na mishale.
Wanashangaa kwangu imekuaje, Nimefika fikaje, Ni Kwa mkono wako BWANA".
#NashukuruMUNGU
Yule mtoto wa mkulima aliyeambiwa na Baba ake asome Ili apate kazi nzuriii sasa hivi amekua na amepata 4 GPA Chuo, Ila sasa hivi Serikali inamuambia ajiajiri.