MTANZANIA | Proud Father 'Baba Elsagillian'|
I Believe in GOD - JESUS Christ || HOLLY GHOST |
I agree To disagree || LIKE is Not an Endorsement||
We Can Make It
Anaitwa Ester Martin Peter cheo Mnadhimu wa Kambi (Resident Sergeant Major – RSM) huyu ndio aliyeongoza siku ya Leo kumvua nguo na kumzalilisha Katibu wa Jimbo la Ilala Elizabeth.
Na kwa maelezo ya ELIZABETH huyu ndio alieamuru kupigo kwa yule kijana aliefariki nje ya MAHAKAMA.
REPOST 400 🚨🚨
HATUWEZI KUIANZA HII SIKU BILA KUWA NA SALA MAALUMU YA KUMUOMBEA MWENYEKITI ALIEAMUA KUSIMAMA UPANDE WA WANANCHI #NoReformsNoElection
NAOMBA WOTE TU COMMENT AMEN. MUDA WA KUONYESHA UMOJA WETU KIPINDI HIKI KIGUMU KWAKE NA FAMILIA YAKE.
#FreeTunduLissu
REPOST 400 🔥🔥🔥
Katibu Mkuu @ChademaTz sitakuwepo kwenye kikao cha tarehe 12 Aprili 2025 cha kushauriana na kusaini maadili ya uchaguzi ya 2025.
Ifahamike kuwa mwenye mamlaka ya kusaini maadili ya uchaguzi kwa niaba ya chama cha siasa ni Katibu Mkuu.
Katibu Mkuu sijateua kiongozi au afisa yoyote kwenda kushiriki kwa niaba yangu katika kikao hicho kitakachofanyika katika Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi @TumeUchaguziTZ Mkoani Dodoma. #NoReformsNoElection
Yaani badala ya kuwafuta kazi Wassira na Makalla kwa kushindwa kazi ya kujibu hoja kuhusu mapungufu ya UCHAGUZI, wameona wamkamate mtoa hoja na kumpa msala feki wa Uhaini!
NB: Hoja ijibiwe kwa hoja, hoja haifungwi gerezani.
#NoReformsNoElection#FreeLissu#LissuSioMhaini
President @SuluhuSamia has charged CHADEMA leader, @TunduALissu—her main opponent—with treason, over CIVIL DISOBEDIENCE calls of #NoReformsNoElection.
This is the kind of insecurity, desperation and stupidity which African tyrants excel in.
Civil disobedience is a constitutional right of all human beings faced by injustice.
To @SuluhuSamia: #FreeTunduLissu now!
You can’t stop Tanzanians from making their country’s governance more democratic, transparent and accountable.
African Freedom Fighters condemn your repressive measures against @TunduALissu and his CHADEMA comrades. We stand in solidarity with Lissu and his detained comrades.
Tume ya Taifa ya uchaguzi Nchi hii haijawahi kuwa na maadili.
Ni tume ya ccm inayosimamia wizi wa kura kuisaidia ccm kupora na kuhujumu mamlaka ya umma.
Haiwezi kuwambia watu wasaini maadili ambayo wao wenyewe hawana.
Kwasasa hoja ni moja tu.
#NoReformsNoElection
@Jambotv_@ChademaTz@JonMrema Kaka @JonMrema Watu wengi sasa hiv sio wajinga , maelezo yako hayana mashiko, inaonekana dhahir mlibeba mawazo ya mtu wala si chama