Nashindwa Kuelewa hapa kuwa Huyu ni Mtanzania mwezetu kabisa???
Huyu Hana Ndugu Boda boda Boda,
Hana Rafiki Boda boda.
Hana jirani Boda boda..
Mda Mwingine Bora kukaa kimya ukaheshimika..
Katibu wa NEC – Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM na Mlezi wa Mkoa wa Dar es Salaam , ndugu Kenani Laban Kihongosi, anatarajiwa kufanya ziara na mikutano ya hadhara katika Wilaya za Temeke na Ilala, Dar es Salaam.
📍 19.09. 2026
Wilaya ya Temeke
📍20.09. 2026
Wilaya ya Ilala
Kama uliteleza au uliaanguka katika hatua Fulani za maisha,usijilaumu,ukijilaumu unaendelea kujitengenezea tatizo jingine kubwa.Mshukuru Mungu songa mbele.
"With a Superior Power of wisdom I decided that if i was to achieve what I desire,time and study would be acquired"aliwahi kusema Mwandishi George S Clason
Tukisoma Kitabu cha Nukuu za Kiswahili za Mwalimu JK Nyerere Uk 150 alisema " Tumwombe sana Mwenyezi Mungu atusaidie kuishi ili tujifunze Mambo juu ya Maajabu yake katika Ulimwengu huu Tunaoishi na tujipatie faida za maisha hayo sisi wenyewe, watoto wetu na nchi yetu."
"One man's Problems is another Man's Opportunity consequently hospital exist because People sick"
Kutoka kitabu cha Though Times Never last but Tough People Do page 49.
"Your future is not determined by your personality, In fact your Personality is not even determined by your personality, Your the thinker who you will determines who you will be" by Steve Chandler.
Utu,haki ni alama alizoacha Buriani Mhandisi Boniface Gissima Nyamuhanga katika utendaji wake,hakika ni pigo kwa Taifa,Poleni sana Familia,Ndugu Tanesco na wote mlioguswa.
Mbona kila taasisi ya Serikali imepata hasara,ni lini hizi Taasisi zitaleta faida,na Vp kuhusu kuwajibishwa kwa watumishi wanaosababisha hasara kwenye Taasisi hizi???