ππππππ’πͺ π π¬π π πππͺπ₯π πππππΌ ππΌπππΌππππ.
Shuka na Uzi ππΎ
Korea kaskazini - ndio nchi pekee duniani ambayo raia wake hawaruhusiwi kuwa na dini yaani hakuna uislamu wala Ukristo marufuku.
Korea kaskazini - ndio nchi pekee duniani ambayo vitabu vitakatifu vya dini.....haviruhusiwi kuingia nchini humo
@millardayo Lakini bi mkubwa sidhani kama Mungu alikuleta ili uibe kura tarehe 29 na kuua watu wasio na hatia majumbani mwao. Au wewe una Mungu wako peke yako?
Niritarajia IGP anajiuzuru. Inashangaza kuona IGP bado yupo kazini na wala haujasema chochote .
Nadhani kupitia documentary ya @CNN tumeona ni kwa kiasi gani jeshi la polisi limetukosea ni wazi kuna watu wanapaswa kuwajibishwa mara moja. Vitisho havisaidii chochote. @Sativa255
@millardayo Sababu inajulikana, kiini na haki wanazodai vijana zinajulikana/unazijua. Hiyo tume nadhani imeundwa ili apatikane mtu(watu) wa kutupiwa lawama. Tukutane #D9 MAMAE
NDEGE YATUA BAADA YA MIAKA 35 KUPOTEA NA WATU WOTE WAKIWA MIFUPA MITUPU. π§΅ Thread π§΅
~Ilikuwa ni September 4, 1954 ambapo ndege ya shirika la ndege la Brazil ya Santiago Airlines 513 iliondoka katika uwanja wa ndege wa Aachen mashariki mwa Ujerumani kuelekea Porto Alegre Brazil,..ππΎ
Demokrasia haifi mara moja. Hufa polepole kwa hatua ndogo ndogo. Sio uchaguzi pekee unaohitajika, bali pia utamaduni wa kuvumiliana, uwazi na mipaka ya mamlaka.
Swali la msingi leo si kama tunaunga mkono demokrasia bali kama tuko tayari kuilinda pale inapoanza kutoweka?