Mtuhumiwa hawezi kujichunguza mwenyewe.
Tangu mwanzo tulisema tume ya Jaji Chande haiwezi kuleta ukweli, iliundwa kuficha ukweli na kusafisha watuhumiwa.
Ndio maana ile tume ilikuja na hoja za ajabu kwamba:
1. Watu wanatekwa kwasababu za kimapenzi
2. Kwasababu za ushirikina
3.kwasababu za kibishara.
Kuna familia zinasema na zina ushahidi wa ndugu zai kutekwa na kupotelea vituo vya polisi, lakini Chande hakusema hilo popote.
Kama ilivyokua tume ya Chande.
Hiki kinacholazimishwa kitaharibu na kuwagawa Watanzania zaidi.
Jaji wa Museveni ambapo wapinzani wanauwawa, wengine wako jela na wengine wamekimbia Nchi.. labda atawapa uzoefu zaidi wa namna ya kuumiza watu lakini sio kutafuta ukweli.
Serikali dhalimu inawakamata viongozi na wanachama wetu na kuwabambikizia kwa makusudi na kwa uongo kesi mbaya isiyo na dhamana ya ugaidi.
Sisi tunahoji, mnajua madhara ya kusema kuna ugaidi kwenye Nchi?
Kiuchumi kwa maana ya wawekezaji wenye mitaji mikubwa,
Utalii na wageni wanaokuja Nchini.
Kimahusiano na kimashirikiano kwa mfano michezo?
Tunauliza unajenga vipi viwanja na kualika wageni kwenye Nchi ambayo nyie wenyewe Mnaitangaza Duniani kwamba mna watu 130 mmewakamata kwa ugaidi!!
Mnaanza kutuma wanaccm kusema tukae mbali na michezo.
Hivi michezo ni muhimu kuliko watu wanaotekwa? Michezo ni muhimu kuliko uhuru wa watu unaopokwa kwa uongo?
Huyo anaesema haya angekua amebambikiziwa kesi yuko gerezani angesemea wapi hiyo michezo?
Afrika kusini wakati wa ubaguzi wa rangi ilitengwa na FIFA na CAF.. serikali hii inayobagua na kubambikizia watu wanaotekwa chadema kesi inastahili kutengwa na kila mtu Duniani.
@SuluhuSamia Mhe Rais naendelea kushauri kwa dhati Tundu Lissu aachiwe huru kwani kesi haikamiliki. Hekima na busara iliyokufanya kutangaza sera ya 4Rs mara ulipoingia madarakani ikuongoze tena katika jambo hili. Simulizi hizi za kutisha za vyombo vya habari vya kimataifa, zinaibua hisia kali hasa kwa vijana, hata wazee tumekumbushwa kadhia ya operation Sogeza iliyounda vijiji vya ujamaa 1974 -1976. Taarifa hizi zinaathiri kikubwa taswira ya taifa letu na maslahi yake. Athari ni kubwa. Tutafute muafaka kupitia uwajibikaji na maridhiano. Tuwe na hofu ya Mungu na kutambua miujiza yake mfano wa risasi 16 kushindwa kukomesha uhai ingawa maumivu ni makubwa. Tutubu na kusali kuliombea taifa letu kila mtu kwa imani yake.
Baada ya Mwenezi wao Ganja Mbichi na Wassira kushindwa kujibu hoja MAJUKWAANI… Yameona yarudi kwenye MABAVU ya kutumia polisi! PATHETIC!
#FREELISSU#KatibaMpyaNiSasa
@ezekiel_kamwaga@DavidHundeyin@CNN Kabla ya kumhonga hela alikuwa mzima kabisa baadae amebadilika mnatufanya sisi hatuna akili kama wewe tipwatipwa
Matako yako
Wewe tipwatipwa beba tairi ukimbie upunguze uzito wa kiwango cha upumbavu kwenye hilo jumba unalotembelea nalo! Do justice to yourself once in a while.
Sinema yenu mtaangalia na Samia mfarijiane—but won’t shield her against criminal accountability!
hapa tuwe makini, umetumwa kushutumu watu kwa maneno matupu bila ushahidi, ili serikali iwatupie zigo la damu za ndugu zetu.? kama una ushahidi post risiti, picha au video, maneno ya space hayatakua na ushahidi.
unadhani ile tweet ulipost ww, angepost mtu mwingine wa kawaida bila kutumwa sasahivi angekua mtaani kama wewe.? angekua yupo polisi anasaidia upelelezi. the fact kwamba serikali wanaitumia post yako kama reference na upo mtaani tells everything. watu si wajinga.
Kesho tar 29 ni siku ya maombolezo kuwakumbuka watu wote waliouwawa na waathirika wa tar 29 Oktoba na siku zilizofuata—wengi wao wakipigania uadilifu wa bendera yetu 🇹🇿! Tutakuwepo!
Suala linalohusu na/au kuhatarisha maisha ya watu lazima tulipe umakini stahiki.
Propaganda ya waandamanaji kulipwa na Ford Foundation ni uongo wenye hatari.
Ulikuwa mkakati wa dola kujisafisha dhidi ya mauwaji.
Madenge, kwa kujua, alitumika kusambaza propaganda hiyo.
🧵🧵
Wewe ni malaya mzoefu wa kisiasa, aren’t you?
Umerudi kwakuwa ccm wameuwa, au kwakuwa hukuamini watauwa?
Walianza kuuwa Oktoba 29?
For some of us it, it will take a village to trust clowns like you!
Pole sana!
Jamii nyingi za Kanda ya Ziwa, Baba akifariki, watoto wa Kiume walikua wanaenda kulelewa ujombani.
Do you know the logic behind?
Boys need a father figure to guide them.