Wako Marafiki Watakaokutaja Kama Mtu Bora Watakapoulizwa Juu Ya Watu Bora Wenye Ubora, Hata Kama Kwa Wengine Wewe Hutamkwa Hovyo, Elewa tu Wakuonao kuwa Bora Hao Unawahitaji Sana | Wape nafasi Zaidi....maana Hakuna Aliye Bora Duniani Isipokuwa Kwa Watu Wamwonao kuwa Bora