๐ Coach Goodluck | Goodluck Mindset
๐ก I help you change mindset & build income
๐ Network Marketing | Business Growth
๐ฉ DM โSTARTโ to begin your journey
1/8 ๐ Network Marketing ni nini?
Network Marketing ni mfumo wa biashara ambapo kampuni husambaza bidhaa au huduma kupitia watu binafsi badala ya kutegemea matangazo makubwa ya TV, Radio au maduka makubwa.
Kadiri watu wanavyojua machache kuhusu maisha yako, ndivyo wanavyoweza kuyaharibu kwa kiwango kidogo.
Acha kuelezea kila kitu kuhusu maisha yako kwa kila mtu.
Siku hizi nimeacha kabisa kulalamika kuhusu ugumu wa maisha Jana nipo Bar saa 5 usiku, kapita mama na mtoto mgongoni anauza karanga.
Ilibidi ninunue kama ishara ya kumuomba Mungu msamaha pale nilipolalamika.
Kuzungukwa na watu wenye akili nyingi kwenye circle yako usione kama ni kitisho ila ione kama ni fursa ya kuji upgrade na kuongeza kiwango cha uwezo wako, sababu ni chuma ndio kinacho noa chuma na kama ilivyo ujinga akili pia nayo ina ambukiza kwa kushirikiana na wenye akili ๐ .
Maisha jinsi yalivyo yana seasons zake sasa tunatakiwa tuzitumie vizuri zile high seasons kwa sababu inapokuja low season huaga haina huruma kama hukujipanga vizuri unaeza ukaacha ndala.
Mwanamke hawezi kuliwa mara moja tu alafu akaishia hapo. So wewe utakuwa mjinga mkubwa kumuamini demu uliyekuta hana bikira eti kalala na mwanaume mmoja tu ๐. Ni rahisi kupata bikira kuliko kupata mwanamke mwenye body count 1