@YoungAfricansSC Fabrizio wa Yanga hana ndevu ila Jana usiku alikuwa na ndevu pamoja na wekundu kwenye kwenye pua karibu na jicho. Alafu wa Yanga kachangamka kinoma alafu kijana ๐๐๐ AI
@SimbaSCFansPage Mimi ni shabiki wa Simba ila kwa hili hapana, huyo wa kwanza foul alifanyiwa nje ya box na akajiangusha kwenye box. Usisahau sheria ni action yoyote Ile inaanza na first touch ndio inakuwa ni foul
@siadevinci@siadevinci nawe unashinda mtandaoni hapa, huo muda uliopoteza kuandika ungefanya jambo jingine. Sometime msijifanye nyie ni malkia sanaa, kwamba nyie ndio mnaojua sanaa kumbe ni wale wale.