@VannesserMalick Watu wapo tofauti kutokana na mazingira na mategemeo sio kila mtu anaweza kupambana na changamoto hao ambao hawawezi ndio wasaidiwe kimawazo endelea hivyo hivyo mama kuwasaidia kimawazo
@Labella_Mafia95 Anguko lake lipo karibu kuliko ulivyo asubuhi na jioni ni hekima ya mungu tu ndio inaweza kumuokoa amefika kiwango cha juu kabisa kiburi Mungu amsaidie
@TuliaAckson Kifo ni ahaadi sio deni na ahaadi za Mungu ni zakweli kwahiyo tujitahidi kutenda haki maana haki ni tunda la Amani Mungu akuongeze spika katika Safari yako ya uongozi Sana nakuombea akupe hekima maana siku moja kila mtu ataulizwa na Mungu kuhusu nafasi aliyopewa dunian