Maharage ni mboga inayotumika sana Tanzania Ivo kufanya kua ni bidhaa inayoitajika sana sokon ukiwa na 200k-250k unaweza Lima shamba ekal Moja + all cost kama kukodi shamba palizi…
….na ukifanikiwa kulima vzr wateja wanakuja wenyew shamban Ivo auna Tena carrying cost Wala transportation cost JE NAWEZA SEMA NDO KILIMO BORA KWA WATU WENYE MTAJI MDOGO? Ukikataa uniambie wewe ya kwako ni ipi??