โBody on Meโ ft @JohMakini now available on Youtube. Bonyeza link kwenye bio kuweza kusikiliza #RebirthEP nzima kwenye platforms zote. ๐๐พ
*GRACE MATATA: REBIRTH EP:* https://t.co/98SVzbH590
*YOUTUBE:* https://t.co/O2i8CVRJWD
#RebirthEP#gracematata#newmusic
Tulikua na wakati mzuri sana pale #HyattKilimanjaro kwa ajili ya kuukaribisha mwaka mpya 2024. Shukrani nyingi kwa wote mliojiunga na sisi. I speak more blessings and MONEY kwa mwaka 2024. HAPPY NEW YEAR ๐
โBody on Meโ ft @JohMakini now available on Youtube. Bonyeza link kwenye bio kuweza kusikiliza #RebirthEP nzima kwenye platforms zote. ๐๐พ
*GRACE MATATA: REBIRTH EP:* https://t.co/98SVzbH590
*YOUTUBE:* https://t.co/O2i8CVRJWD
#RebirthEP#gracematata#newmusic
Nilipata nafasi ya kukutana na hawa mabwana @HartTheBand last week. Niseme tu, TULIVAIBU. Please follow them na check out album yao mpya inaitwa #TIME We love all the songs!!!
Huwa siposti picha za corporate events, ila jana we had so much fun kwenye cocktail party ya kumaliza Kongamano La Nishati Tanzania pale #hyattregency i had to ๐คญ
So happy to be back performing again, tuna show nyingine next week (nitashare details) i hope to see you there! ๐