@SuluhuSamia nasikitisha sanaa kuona viongozi wetu mmetusahau wananchi wenu wa Ukonga Madafu tunapitia changamoto na hamjui kama tunateseka nyie uko mlipo mnakula mema ya nchi
@JerrySilaa Inasikitisha sanaa kuona viongozi wetu mmetusahau wananchi wenu wa Ukonga Madafu tunapitia changamoto na hamjui kama tunateseka nyie uko mlipo mnakula mema ya nchi