@polo_kimanii We are losing our culture as men🤦, hii ni mambo gani sasa ??? ukishamalizwa kunyolewa unafaa unapigwa na mkia ya ngombe Kwa uso halafu unapewa spray moja bwakala na spirit kama Mortein Doom ya mende
Nilidhan madem wa kmtc unaeza wabag easy until nikaspot mmoja. So zanguzangu nikambouncia, nikajiintroduce"hi beautiful" akashtuka(speaking of the face card)nikaforce vibe until ikafika time ya kupart ways nikaomba namba, akasema NO na hata nikikupa Nani atakureply 🔪 hadi lini??