@_itsmalume Ulitakiwa toka umepata taarifa za tukio asubuhi hamasisha watu wafike eneo la tukiona na vifaa vyakutoa msaada ila kama unalaumu wakati Janga halinaga plan na ni ghafla
@nyuki_malkia "Watu wangu uangamia kwa kukosa maarifa.... "sasa huku hospitali? huyo malaika anavipimo? nenda hospital hilo swala dogo acha kujizalilisha .
majibu hubaki siri ya mgonjwa uko hospitali hutatakiwa kujipost ili upate msaada
@EduTalkTz Hana nidhamu financial independence na heshima kwa mme wake zinaingiliana wapi anawadanganya wasio olewa huyu mama, afu kutoa taarifa ndokuomba ruhusa kwenyewe coz shughuli unayoenda fanya ni official haina haja yakujieleza sana but Mume na mke kupeana rarifa muhimu