Meanwhile in Uganda, a police car deliberately hit a boda boda rider, and one officer even pepper-sprayed them in the face. This happened during Bobi Wine’s campaign yesterday!
Bunge la Tanzania🇹🇿
Waziri Wa Fedha (Shemeji).
Waziri Wa Afya (Mkwe).
Naibu Waziri Elimu (Mtoto).
Naibu Waziri Kazi (Mpwa).
Waziri Wa Ulinzi (Mshenga Wa Mkwe).
Mbunge Viti Maalam (Mdogo Mtu).
#D9
WALINZI WA MWIGULU NCHEMBA WAMEHUSIKA NA TUKIO LA MAUAJI YA MC PILIPILI.
Novemba 15, 2025 ambayo ilikuwa siku ya Jumamosi MC Pilipili alisafiri kutoka Dar es salaam hadi Dodoma ambako alienda kwa ajili ya shughuli zake.
Siku ya Jumapili yani November 16, alienda Royal Village Hotel Dodoma wakati anatoka na gari kuna gari mbili zikaanza kumfuata nyuma, watu hao walimkimbiza mpaka maeneo ya karibia na Swaswa Dodoma mjini ambapo walifanikiwa kuiblock gari ya Mc Pilipili badae wakashuka watu wa nne ambao mashuhuda wanasema ni Walinzi wa Mwigulu Nchemba kishawakaenda kwenye gari la MC Pipili
Mashuhuda wanasema kulikuwa na ubishani wa dakika kadhaa badae watu hao wakamshusha MC Pilipili kwenye gari yake kwa nguvu na kuanza kumpiga.
Then walimuingiza kwenye moja ya gari zao kishawakaondoka nae siku ya Jumapili familia ilipigiwa simu ikajulishwa kwamba mwili wa MC Pilipili umeokotwa kando ya Barabara na tayari umefikishwa General Hospital Dodoma.
Ndugu walifika Hospital kwa ajili ya kuthibitisha kama kweli ni ndugu yao, baada ya kumkagua wakagundua kwamba ni kweli ulikuwa mwili wa MC Pilipili.
Lakin wakati wanakagua mwili huo walikuta ulikuwa na jeraha la risasi, majeraha ya mijeledi maeneo ya mgongoni na kwenye bega alikuwa ameunguzwa na kitu kama pasi.
Hii ni ishara kwamba Watekaji hao kabla hawajatekeleza mauaji hayo walimtesa sana kisha baada ya mateso ndo wakaamua.
Pamoja na Ukatili huo wote ambao MC Pilipili kafanyiwa na Walinzi wa Mwigulu Nchemba, Familia ya MC Pilipili wameambiwa hawatakiwi kusema chochote juu ya sakata hilo badala yake wameambiwa eti Polisi kupitia RPC wa Dodoma pekee ndo wanaruhusiwi kuzungumza kuhusu jambo hili.
Tangu Jumapili mpaka sasa Jeshi la Polisi Mkoa Mkoa wa Dodoma lipo kimya hawajasema chochote licha ya kwamba wanajua fika kwamba mwili wa MC Pilipili umekutwa na jeraha la risasi pamoja majeraha mengine ya vipigo maeneo mbalimbali sehemu ya mwili wake.
Jeshi la Polisi limekuwa na kigugumizi juu ya jambo hili kwasababu linajua nan ni muhusika.
Nchi yetu imefika mahali pabaya sana kila mtu ambae yupo Serikalini anadhan kwamba yuko na Haki ya kuamua nan aishi nani afe.
Bila kuikomboa hii Nchi tutaendelea kushuhudia matukio ya namna hii kila siku.
#JusticeForMcPilipili💔
Nawaheshimu sana watu wanaomkubali Sir Alex Ferguson, Jose Mourinho, Arsene Wenger na hata Carlo Ancelotti ila uhalisia ni kuwa Pep Guardiola ndio Kocha bora zaidi kuwahi kutokea kwenye historia ya mpira wa miguu, ipo wazi kabisa.
MARIDHIANO NI UTAPELI.
Kwanza lazima tujue watanzania waliandamana kudai nini? Baada ya kujua kilichowafanya waandamane tuwape walichokitaka ili vifo vyao visiende Bure.
Waandmanaji walikuwa wanapinga UCHAGUZI mkuu, walikuwa wanadai KATIBA MPYA, walikuwa wanapinga UTEKAJI unaoendelea kwenye nchi.
Hatuna haja ya KUWEKA meza ya MARIDHIANO ni kupoteza muda tuu. Hatua za kufanyika kuokoa muda.
1. UCHAGUZI UFUTWE.
2. TUPATE KATIBA MPYA.
3. WALIOWAJIBIKA KUUWA WATANZANIA KWA MAELFU WASHTAKIWE NA FAMILIA ZA WAFIWA ZIFIDIWE.
Kwa kufanya hayo TUTAOKOA MUDA na nchi itarejea kwenye AMANI tuliyoiishi kwa miaka yote haraka sana.