Mbogamboga, mnamshtaki Lissu kwa kosa kubwa kuliko yote, UHAINI, lakini hamtaki Mahakama ikimkuta na hatia itoe adhabu ya kunyongwa hadi kufa. Kwamba, mahakama ikikubaliana na hoja za Jamhuri, maana yake itengeneze adhabu ambayo haijatajwa na sheria yoyote? Ujinga mwingi sana!
Na sisi tunataka wewe CHALAMILA uone AIBU tangu 2018 wewe ni "mkuu wa mkoa" tuu hupandi cheo hata kuwa WAZIRI / RAISI.
Kweli shibe mbaya sana-huyu kavimbisha kitumbo kama MIMBA YA PANYA anajiona kamaliza maisha.
Mara nyingi nasemaga "HII NCHI IMETEKWA" ukimsikiliza Mchungaji msigwa UTAELEWA.
Hili taifa linahitaji kukombolewa hapa lilipofika ni hatua ya MWISHO KABISA ya undondocha.
REPOST 200
Lissu: Jana, "Mkiona Uhaini umethibitishwa msiogope kuninyonga."
Katuga: Leo anasema "sio Lazima hata mkimkuta na hatia mumnyonge. Adhabu ni kuanzia 0 hadi kifungo cha kunyongwa hadi kufa."
NB: Jamhuri wanaogopa kumnyonga Muhaini wao. Tulishtuka kitambo nia ni nini? UENYEKITI.
Madereva tumianeni hii clip ya LISSU huko kwenye magrupu.
Kiufupi HII NI NAFASI YA DHAHABU mmeipata kujibiwa matakwa yenu yote.
Kazeni wanangu, mpo mwishoni kupata HAKI ZENU.
Repost 200
“Nimepigania Haki na Demokrasia kwa sehemu kubwa ya maisha yangu ili kuwe na nchi ya Demokrasia, imekuwa ni ideal kwa nchi yangu, msimamo huo umenigharimu sana, umeniletea madhira mengi sana, msimamo huo kwa siku zilizobaki kwa maisha yangu ni msimamo ambao nitaendelea kuusimamia, na kama ikibidi KUFA nipo tayari KUFA…”-; Mhe. Tundu Lissu
September 28, 2026
REPOST 200
MaCCM, mnamshtaki Tundu Lissu kwa kosa kubwa kuliko yote, UHAINI, lakini hamtaki Mahakama ikimkuta na hatia itoe adhabu ya kunyongwa hadi kufa. Kwamba, mahakama ikikubaliana na hoja za Jamhuri, maana yake itengeneze adhabu ambayo haijatajwa na sheria yoyote? Ujinga mwingi sana!
“Nimepigania haki na demokrasia kwa sehemu kubwa ya maisha yangu. Msimamo huo umenigharimu sana. Umeniletea madhila mengi sana. Msimamo huo, kwa siku zilizobaki za maisha yangu, nitaendelea kuusimamia, na kama ikibidi kuufia, nipo tayari kufa.” — Tundu Lissu, 28.09.2026
Tundu Lissu. The man, the myth, the legend.
Mwenyekiti @TunduALissu amemaliza kutoa hoja zake za mwisho (final submission) katika kesi ya uhaini inayomkabili. Ujumbe wake ni kwamba TUSIOGOPE. Nimemfikishia ule ujumbe wa kiduanzi wa MaCCM kwamba “vyombo vyote vya ulinzi na usalama ni mali ya CCM” na TAL amesema angalau wamethibitisha na wajibu wetu sasa ni kupambana kuvunja mfumo huu wa chama kimoja. #FreeTunduLissu
*MANENO YA MWISHO YA TUNDU LISU, leo:*
“Waheshimiwa Majaji miaka 60 iliyopita, kuna mhaini mwingine alifungwa kifungo cha maisha nchini Afrika Kusini, kabla hajahukumiwa alisema maneno yafuatayo ambayo naomba kuyafanya yawe maneno yangu leo, "I have fought against white domination and I have fought against blood domination, and my Lords, it is an ideal I am prepared to die for"
Nimepigania haki na demokrasia kwa sehemu kubwa, kuwa na nchi ya demokrasia, imekuwa ni ideal kwa nchi yangu, msimamo huo umenigharimu sana, umeniletea madhira mengi sana, msimamo huo kwa siku zilizobaki kwa maisha yangu ni msimamo ambao nitaendelea kuusimamia, na kama ikibidi kufa ni msimamo ambao nipo tayari kufa.
Namalziia kwa neno moja:
waheshimiwa majaji, kosa la uhaini halina kosa dogo, halina kosa ambalo ukishindwa kuthibitisha uhaini unahukumu kwa kosa dogo, it is either death sentence or acquittal, hakuna kakosa kadogo kwenye uhaini, waheshimiwa majaji, mzigo ambao mmekabidhiwa mabegani mwenu ni
kuamua kama kwa ushahdii huu kuna uhaini, kama mkiona kuna uhaini you should not hesitate to convict and punish me appropriately, do not hesitate, msiogope, kama mtaona kuna uhaini msiogope kunihukumu, kama mkiona hamna uhaini
msiogope kuniachia huru.
You have God before you, msije mkaletewa maneno kuna kosa dogo, hakuna kosa dogo kwenye uhaini, if the evidence doesn't fit— acquit, huo ni mzigo ambao ni wa kwenu peke yenu waheshimiwa majaji. Nimemaliza”
Tundu Antiphas Lissu, September 28, 2026. Mahakama Kuu, Dar.
Kuna jinsi ambavyo huyu jamaa amejitoa kwa ajili ya Tanzania na Watanzania….
Na ni kweli matatizo yote ya haki tuliyonayo TZ yanatokana na kundi dogo la watu………. Watu milioni 70 tunabagazwa na kuuawa na kundi halizidi watu 100.