Oyaaa , Machalii wangu wa Gen Z wangu nisikilize hapa vizuri 🗣️🔥
Wateja wakuu wa show za wasanii nchini ni nyie Gen Z. Sasa kama kuna wasanii wameamua kuwa chawa, hakuna haja ya kupiga kelele kuna njia moja tu, rahisi na ya AMANI ,
⛔️ Usihudhurie show zao.
⛔️ Wa-unfollow kila kona, Instagram, TikTok, YouTube, X, kila mahali.
Mkiamua kufanya hivi nationwide, mna wakata mrija wao wa uchumi faster kuliko maneno. Hawa watu watajua kuwa nguvu yao inatoka kwa nyinyi, na bila support ya Gen Z hakuna “star” anasimama.
Hakuna longo longo hapa.
Ni simple: “Sichukui content yako, sitoi hela yangu, na naheshimu utu kuliko kiki.”
Sasa twendeni kazini machalii na mabridaz wangu 🙌🙏Hakuna tena ‘niaje niaje’ , tunaplay smart, tunaplay silent, tunaplay power.
Machalii , si ndio hivyooo Chalii yanguu!! Twende Job na Mabro tuko nyuma yenu 🙏🙏🙏🙏 One Love man❤️❤️
Cain’s curse 👇🏾 another case this time in Guinea Bissau
Embslo rushed to congratulate @SuluhuSamia ‘s illegitimate win - now he is out
Laana ya Kaini - damu unayomwaga au kushabikia kumwagwa ni laana kubwa
How it started…. How it’s going….
"Nilipigwa sana bila kuulizwa chochote, niliyokutana nayo mahabusu ni ya ajabu sana watu wengi walifia ndani, walipigwa risasi za kiuno, nyonga. Nashukuru sana watanzania kwa kupiga kelele". Mtuhumiwa wa Uhaini aliyeachiwa huru.
Wauaji wa Samia hawakuwa watu wa kawaida, Kati ya vifo nilivyoshuhudia vilitekelezwa na Professional Killers, Watu maalum waliolenga shabaha (Sniper) Walikuwa juu ya majengo matefu wakiwalenga Waandamaji mithili ya mtu awindavyo Swala. Ni wazi Samia alidhamiria kutumaliza Kmmk💔
WAHAINI WENZANGU tumeifunga Week kibabe sana, dunia imeona uhalisia wa yote yaliyofanyika GIZANI shukrani kwa Mwanetu @LarryMadowo
Serikali kupitia KIBAKA GIRISHONI wamejibu uhalisia wa yaliyofanyika gizani kwa kutupa story zile zile za SGR na upumbavu mwingine—hii ni wazi kilichoripotiwa na mwanetu LARRY MADOWO ni ukweli mtupu.
Sasa kesho na siku zote kuelekea 9 Disemba tuna kazi moja ya kudai HAKI ZA NDUGU ZETU kwa maandamano ya amani #D9
Weka hapo kwenye comment #TUTAKUWEPO
#D9
REPOST 200
#TUTAKUWEPO🫵🏾😎
WATU WA ARUSHA SAMIA ALIYEUWA MAELFU YA WATOTO WENU ANAKUJA ARUSHA.
Kati ya Jambo ambalo Watanganyika tusiruhusi litokee ni hili la huyu muuaji Samia kuja mbele yetu na kutuutubia, Samia azomewe na apigwe mawe popote pale atakapoonekana. Huyu mhasi na adui wa Tanganyika.
#D9.
Case closed 👏🏽
Haya wale wahuni waliochukua pesa za Abdul piteni huku - eleweni Gen Z ni kizazi tofauti - huu ujinga wenu kaeni nayo wenyewe mmeambiwa 😀
#D9#TunatokaTena#SamiaMustGo#TanzaniaMassacre
Kila Ndugu Samia Suluhu Akiongelea Swala La Maandamano Ya October 29 Ndo Anazidi Kuharibu
Mwanzoni Alisema Waandamanaji Sio Raia Wa Tz
Akaja Kusema Ni Raia Lakini Walifwata Mkumbo Tu
Leo Anasema Waandamanaji Walilipwa Kuandamana
Mimi Nadhani Angenyamaza Tu, Asitie Watu Hasira
Nilichokisema kimetimia, Usiku huu Vijana WAASI wa UVCCM wamekodi bodaboda na kuanza maigizo mitaani wakizunguka na mabango yakumsifia Samia... Hawa vijana ni WAASI dhidi ya hatma ya Tanganyika yetu, Wanastahili KUDHIBITIWA kwa nguvu zote.!!
Hawa ndio vijana wa CHADEMA ambao wanawindwa usiku kucha kuuliwa.
Sikiliza kwa makini nondo HIZO, Maswali KONKI haya hayawezi kujibiwa na MACHAWA. Ndiomaana watawala wanaona bora watuue wabaki na CHAWA wazee wa PONGEZI.
HATUTAKUBALI, TUTAENDELEA KUHOJI KILA SIKU MPAKA TUTAKAPOSIKILIZWA NA KUIPATA TANGANYIKA YETU.
REPOST 200
TUTAKUWEPO🫵😎