@asiliasali Hawezi kumuoa kwa kuwa baba ameshalala na mama yake inakuwa haramu kwake.
Hayo maneno ni hadithi ni kutilia mkazo watu wasizae njee ya ndoa sababu ya madhara ya zinaa, sio kwamba inaruhusiwa hakuna sheria imeruhusu hilo kwenye uislamu
@immaculatepet14@asiliasali Hawezi kumuoa kwa kuwa ameshalala na mama yake inakuwa haramu kwake ameshanyonya titi la mkwewe hilo neno linakuja kutia mkazo watu wasizae njee ya ndoa ila sio sheria ya Allah ni hadithi tena inasema ingekuwa inawezekana mtoto wa njee ya ndoa angeolewa na babae.