Hello Dears♥️ Kufanikiwa kuko hivi👇wengine wamefanikiwa kwa ukubwa wengine kiasi na wengine bado hawajaanza Kufanikiwa hii inatusaidia kujua kwamba muda wa Mungu ndio unaamua nani atangulie kuwa mkubwa sio kwamba hutofanikiwa ipo siku muda wako sahihi utafika USICHOKE💪😍
Today I celebrate not only your birthday but also the wonderful person you are. Thank you for bringing joy, peace,love and happiness into my life. Happy Birthday my love❤️@Angelelsie8
Hello Dears♥️ Isaiah 54:14 Bible inasema utathibitika katika haki utakua mbali na kuonewa!! NAKUOMBEA DUA SIKU YA LEO Ikiwa unaonewa na magonjwa madeni hali ngumu ya uchumi roho ya faraka kwenye familia yenu kuzuiwa hatua zako na washirikina MUNGU AKUWEKE MBALI NA KUONEWA🙏♥️
Hamna mtu anachoshwa na mapenzi kama rafiki wa wapenzi wanaogombana...
Yani yeye hana ushindi kabisa wakigombana anasumbuliwa, wakipatana wanakuwa busy wanamtenga. Ndo maana watoto wanatoka wanafanana nae.🤣
Hello Dears♥️ Usipuuze wazo lolote la kazi ya halali linalo kujia akilini mwako kwasababu Mungu alishasema kwenye TORATI 28:3-4 Utabarikiwa mjini na mashambani uzao wako na mifugo yako pia Huenda ushindi wako upo kwenye hilo wazo unalo lipuuza Amka anza kufanya sasa💪😎
Wakati mwingine mwambie tu Mungu:
“Ee Bwana wangu, wewe unaujua moyo wangu na yote ninayopitia. Nisitiri kwa neema yako, nijaze imani, amani na nguvu ya kuendelea mbele bila kukata tamaa. Niongoze katika kila hatua ya maisha yangu na unipe ushindi juu ya kila changamoto. Amina.”
Unajua siri ya matajiri? Hawafanyi kazi peke yao, wanaziweka pesa zao Leo nimejifunza kuwa hata mimi na wewe tunaweza kumiliki Benki ya CRDB kwa kununua hisa. Sio lazima uwe na mamilioni kuanza, ni mipango yako tu. Dada Anna Mwasha katuwekea kila kitu wazi kuelekea Mkutano Mkuu wa 31.
Twende tukawekeze sasa ili kesho tule matunda ya gawio!
#CRDBvijanauwekezajihisa