@YerickoNyerereT Uongozi uliopita ulikuwa una compromise ili Dola isikifute Chama. Sasa Lissu hataki kuuza Ramani. Ana misimamo. Na Mbowe ana hasira bado kaamua kutumika. Chadema ya sasa ndo Chadema hasa ya Upinzani wenyewe
@zittokabwe HII DUNIA KWELI INA MAMBO. LEO HII ZITTO KABWE ANASHINDANA HOJA NA BABA LEVO. CCM IMEKAMILISHA KILA KITU HAKUNA TENA DENI. MAMA AMEMALIZA KELELE ZA WAPINZANI. ZITTO ANASHINDANA HOJA NA BABA LEVO π€£
@Labella_Mafia95@JohnNgutiCDM Heeeeh. ... Mkewe umekuja juu. Umekuwa msemaji wake sasa. Mwache ataongea mwenyewe. Wanawake huwa mnataka kuwa mpaka wasemaji wetuπ
@zittokabwe Wewe mbona unavaa kama wanaojitoa Mhanga, wanaua watoto na watu wengine. Au walipoteka na kuua ile tarehe 7 October ilikuwa wao wanaua ndege? Ukitaka vita utapata. Kama wanatumia watoto kujikinga watashambuliwa.