Mshambuliaji wa Simba sc Doumbia amendelea kuwa na muendelezo mbaya NBC PL.
Licha ya kupata nafasi ya kuanza katika mchezo wa leo hakufanikiwa kupata goli wala kutoa Assist.
Kutokana na performance hii amezua mijadala mingi mitandaoni. #simba

🚨UPDATES
Mchezaji wa Simba sc Chilambo anafanikiwa kuchukua tuzo ya Mchezaji bora wa mechi dhidi ya Coastal Union.
Chilambo amekuwa na performance bora sana katika michezo aliyo cheza NBC PL.
#SIMBA#NGUVUMOJA#NBCPL

Ever since I start letting go of other's opinions, my life begin to taste like Made in Lagos Ice cream with Vanilla and strawberry flavor.
I urge you to try it.🍨
Looking at the way this rain is raining in this rainy season, and seeing how my landlord and landlady have been tying wrapper since morning.
The next census, Nigeria population might hit 1 Billion, with bag of rice selling for 300 thousand each.
FULL TIME ⏰
SIMBA SC 1️⃣➖0️⃣COASTAL UNION FC
75' Ismail Toure ⚽️
Coastal Union licha ya kupoteza mechi lakini wameonesha mchezo bora sana siku ya leo.
Simba sc wanafanikiwa kuondoka na alama tatu muhimu.
#simba#Nguvumoja

HALF TIME ⏰
SIMBA SC 0️⃣➖0️⃣ COASTAL UNION FC
Simba wamejaribu kufanya majaribio kadhaa lakini Coastal Union fc wameendelea kuonesha ubora. #NBCPL#simba#Nguvumoja