Mkuu wa Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya .Mhe Maryprisca Mahundi amefungua mkutano wa wanawake wafanyabiashara Mkoani Mbeya uliaondaliwa na (TABWA) taasisi ya wanawake wafanyabiashara katika kuzindua tawi lao jijini Mbeya.
@HAROUBTV3
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA, Nyanda Za Juu Kusini na makampuni ya simu wameendelea na zoezi la usajili wa laini za simu kwa makundi mbalimbali, tarehe 19.07.2019 katika Chuo Kikuu cha Mzumbe, Mbeya.
@TCRA_Tz
@HAROUBTV3
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA, Nyanda za Juu Kusini na makampuni ya simu wameendelea na zoezi la usajili wa laini za simu kwa makundi mbalimbali, 19.07.2019 katika Chuo Kikuu Mzumbe, Mbeya.
@HAROUBTV3
Mkuu wa TCRA Kanda ya nyanda za juu kusini Asajile John 19.07.2019 akishirikiana na Nida pamoja na makampuni ya simu wameendelea na zoezi la usajili laini za simu katika chuo kikuu cha Mzumbe kampasi ya mbeya .
@HAROUBTV3
MAOFISA Maendeleo ya Jamii Mkoa wa Arusha, wameagizwa kutoa Elimu zaidi kwa kaya maskini, ili kujiwekea akiba na kujikwamua kiuchumi.
Agizo hilo lilitolewa jana jijini hapa na kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Arusha,David Lyamongi, wakati akifungua mafunzo ya siku tano,ya(TASAF III)
Naibu Spika Dkt.Tulia Ackson 16.07.2019 amekabidhi ahadi yake ya shilingi milioni 2 kwa shule ya sekondari ya Mwakibete iliyopo jijini Mbeya kwa ajili ya kuweka madirisha ya shule hiyo waliyokuwa wameomba wakati wa ziara ya Mh.Rais @MagufuliJP
*RC HOMERA AZINDUA MRADI WA MAJI CHAMALENDI, KATAVI.
RC Homera azindua mradi wa maji Mkoani Katavi.
Katika kutekeleza ilani ya CCM ya 2015/2020 ibara ya 53,54,55 na vifungu vyake.@MagufuliJP
Maoni yangu binafsi Mimi Harubu Kabwe naomba Rais wa Tanzania Mhe.John Joseph Pombe Magufuli apewe nafasi ya kuiongoza Tanzania mpaka 2035 tu ninamaanisha maana anatutendea mema Watanzania.@MagufuliJP
Mwenyekiti wa Bajaji Mbeya Mjini Iddy Ramadhani amewataka waendesha bajaji wote waliopo katika jiji la Mbeya kufuata taratibu zilizowekwa na Sumatra pamoja na kupiga marufuku bajaji zisizo na plate namba kuingia barabarani
#HAROUBTVUPDATES
"Mpango huu wa kutoa elimu ya kinywa tumeanza nao vyuoni,lakini tunatamani kuifikia jamii yote ili iwe na uelewa mkubwa wa afya ya kinywa na meno kwani ni wengi wanaosumbuliwa na titizo hilo"
@Dkt.Israel Mwampondele
#ElimuYaAfyaYaKinywaNaMeno
Chuo cha Sauti Mbeya.
“Serikali ya Awamu ya Tano tunaona inatekeleza miradi mikubwa ya maendeleo, ikiwemo mradi wa umeme katika Mto Rufiji, ni wajibu wetu kulinda misingi ya amani iliyopo ili tuone matunda ya miradi hii katika nchi yetu” @TuliaAckson.
“Tunazo nchi 35 zinazoshiriki maonesho haya, wasingeweza kuja kwa mwaliko wa Tantred. wanafahamu nikienda Tanzania waweza wakarudi walikotoka au wasirudi salama, kwa hiyo kuna uhusiano wa karibu sana wa kuwa na amani na maendeleo ya uchumi wa viwanda.” Dkt. Tulia Ackson.
Uongozi wa HAROUB MEDIA unatoa pole kwa ndugu, jamaa na marafiki waliopoteza wapendwa wao. Mwenyezi Mungu awape nguvu na faraja katika kipindi hiki kigumu kampuni ya AZAM MEDIA
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Albert Chalamila akiwa katika Picha ya pamoja na familia yake katika harusi ya Kaka yake Bwana Frank Chalamila ( Mkurugenzi Elimu TUCTA) Iliyofanyika Dar es salam. Furaha ni kipimo cha Utu na heshima.
@HAROUBTV3
Ukiipenda kazi yako utaifanya kwa bidii, juhudi na kwa ufanisi mkubwa ili ilete mabadiliko kwako wewe na kwa jamii inayokuzunguka.
#KamilishaMalengo2019#MbeyaKwanza
Hapa Duniani unaweza ukatenda wema mpaka ukakosa nguvu za kwenda , hivyo kuwa makini na watu wanao kuzunguka maana moyo wa Mwanadamu ni kiza kinene huwezi kujua yupi ni mkweli na yupi ni muongo katika maisha yako.@TuliaAckson
Wateule wa Magufuli walaumiana mbele ya RC Albert Chalamila
"Ni DAS na DED wa Rungwe wachongeana kwa RC Chalamila kutokamilika Kwa wakati chumba cha kuhifadhia maiti kituo cha afya Ikuti.
Ujenzi wa chumba hiki umeanza juzi Banda ya Ded Loema kusikia unakuja
"DAS Mnkondo Bendera