OFFICIAL ANNOUNCEMENT TO THE WORLD
We, the Tanzanian people, do not recognize Samia Suluhu Hassan or Deo Ndejembi as the legitimate President and Vice President of Tanzania.
No legitimate election was held on October 29, 2025. Instead, what happened was a systematic campaign of mass killings, with more than 10,000 Tanzanians killed during a five-day internet shutdown.
Any government that recognizes these two individuals as the legitimate leaders of Tanzania is turning its back on the Tanzanian people and standing against their demand for justice, democracy, and accountability.
Those responsible for these atrocities must be held accountable. The blood of Tanzanians cannot simply be ignored, and the victims and their families must not be forgotten.
We call on the international community to stand with the Tanzanian people as we fight for:
A new, democratic Constitution
A genuinely free and fair election
An end to killings, kidnappings, arbitrary imprisonment, and sexual torture
An end to the suppression and muzzling of the independent media
Full accountability and justice for the victims
Tanzania belongs to its people.
We will continue to demand democracy, freedom, justice, and a government that derives its legitimacy from the will of the Tanzanian people.
The world must stand with the people of Tanzania.
KISWAHILI
TANGAZO RASMI KWA ULIMWENGU
Sisi, Watanzania, hatuwatambui Samia Suluhu Hassan wala Deo Ndejembi kama Rais na Makamu wa Rais halali wa Tanzania.
Hakukuwa na uchaguzi halali uliofanyika tarehe 29 Oktoba 2025. Badala yake, kilichotokea ni kampeni ya mauaji ya halaiki yaliyopangwa na kutekelezwa kwa utaratibu, ambapo zaidi ya Watanzania 10,000 waliuawa wakati wa kukatika kwa intaneti kwa siku tano.
Serikali yoyote itakayowatambua watu hawa wawili kama viongozi halali wa Tanzania inawageuzia kisogo Watanzania na kusimama kinyume na madai yao ya haki, demokrasia na uwajibikaji.
Wale waliohusika na ukatili huu lazima wawajibishwe. Damu ya Watanzania haiwezi kupuuzwa, na waathirika pamoja na familia zao hawapaswi kusahaulika.
Tunaiomba jumuiya ya kimataifa kusimama pamoja na Watanzania tunapopigania:
Katiba mpya ya kidemokrasia
Uchaguzi huru na wa haki
Kukomeshwa kwa mauaji, utekaji nyara, kufungwa kiholela na mateso ya kingono
Kukomeshwa kwa ukandamizaji na kunyamazishwa kwa vyombo huru vya habari
Uwajibikaji kamili na haki kwa waathirika
Tanzania ni ya Watanzania.
Tutaendelea kudai demokrasia, uhuru, haki na serikali inayopata uhalali wake kutokana na matakwa ya wananchi wa Tanzania.
Ulimwengu lazima usimame pamoja na wananchi wa Tanzania.
Dah watanzania wakigomea kiongozi na kumkataa kila anayejihusisha naye anashukiwa kuwa kabila moja naye
Leo watu wapo timeline na DM wanasema Ndejembi achunguzwe ni mzanzibari au ana asili hizo maana hata chogo hana 😁
Familia ya mzee Ndejembi ni ya watanganyika - unfortunately wapo watanganyika walio tayari kuuza nchi kwa genge la wazanzibari na waarabu kama @mangekimambi anavyoeleza
Tupambanie #KatibaMpya na #FreeTunduLissu au tumekwisha
‼️NDEJEMBI MTU WA GSM KUMBE‼️
Deo Ndejembi hajazuka tu na kabla ya kuingizwa kwenye siasa alikuwa anafanya kazi Alosco Holdings ambayo ni kampuni mama ya GSM group - mpo?
CV yake naona watu wanaanza eti alikuwa sijui mbunge sijui waziri - no! Sisi tumechimba - amesahau hata kubadili Linkedin yake kabaki Head of Group Marketing Alosoc 😁
Sasa mnaona wizara alizopita - ardhi, alafu nishati! Haya!
Mengine baadaye ila ungeni na ile ya @mangekimambi mmeanza kupata picha sasa what we are dealing with in Tanganyika!?
Nasema #TutaelewanaTu
#Tanzania activist @mangekimambi is suing @Meta over claims it silenced her US accounts at Dodoma's request. As I tell @Sheriffb, a win in court would prove 'the government made us do it' isn't a shield, it's an admission that platforms cave to autocrats.
https://t.co/SSB8tzBoFB
Ushirika wa wachawi haudumu: JK ndiye aliyempromoti Nchimbi kupata ukatibu mkuu wa CCM. Na ndiye aliyezuia Bashite asiwe mgombea mwenza na badala yake akampigia debe Nchimbi ambaye alikuwa MWANAMTANDAO kama Jk. Lakini ilipobaki choice ya Nchimbi or Samia, Jk akamtosa Nchimbi
Imma ulifanya kosa KUBWA sana KUDHANI KACHERO ni RAFIKI yako! Huyo mtu ni hatari na nusu na huwa HANA RAFIKI inapofika swala la OPERATION maalum. Amekupiga UTOSINI. Ya kwako ni zaidi ya Katelephone na WENGINE wote! Naona Kikao Cha Dom Kimehamia DAR. Mambo yote kesho. Nalala🤣
Niliandika hii posti kuhusu Nchimbi miaka 2 iliyopita. Niliwaambia Watanzania miaka 2 iliyopita kuwa CCM lazma watamuondoa Nchimbi….
I was 100% sure kuwa yoyote ambae ni old school CCM nikimaanisha wenye mentality kama za kina Mzee Kingunge hatokubali hizi siasa zinazoangamiza nchi na wananchi wake…..
MaCCM wa zamani walikuwa ni wadokozi tu ila kuna sehemu ya mioyo yao ilikuwa ina bleed Tanganyika and no money in the world could make them sell out.
Hawa vijana wa CCM ya leo ni mambwa koko, wanaangalia nchi inapukutuka wao wanajali vyeo tu…
Watanzania ile CCM tuliyokuwa tunaijua haipo tena. Ukimuona Mtanzania bado anavaa nguo za CCM, mpeleke Mirembe ana matatizo ya akili huyo….
CCM imekata moto…..
Last week, the Tanzanian government suspended a local newspaper for 6 months for reporting that the country’s vice president had refused to resign.
Today, VP Emmanuel Nchimbi announced he’s resigning after a year in the job 👀
Naona mzee Kaguta katushtua Abdul kaenda kumtembelea kutafuta uwekezaji
Tunashukuru Mzee huwa anatusanua 😬👊🏽
Huyu Abdul ana delegation kama nani?
#TutaelewwanaTu