Kuna muda unapiga hesabu za kusurvive financially for the next 2 weeks unaona giza tuu, but God always come through, na sio mara moja eti, damn always.
Okay Graduates na wengine wenye kiu ya maarifa nawasogezea fursa ya kupiga msasa mbinu na ujuzi wa kutembea na fursa za soko la ajira.
Wanaitwa @itmtanzania wanakupa hiyo package kwa 30,000/= kozi fupi.
Mjulishe mwenzio.
Rt ujumbe uwafikie wengi.
Usitende jambo lolote kwa lengo la kumkomesha mtu mwingine, kwa kuwa hasira huleta visasi, bali moyo mkunjufu huruhusu ubora wako upambane na watesi wako kwa utashi usio kifani, na ushindi wako hauzuiliki kama asubuhi ilishindavyo kesha la usiku.