Mawazo yenye kujenga haya. Nimependa hili wazo. Maana yake ili uweze kufanya hii biashara vizuri unahitaji kuwa na jezi za msimu mpya tayari. Na huna haja ha kuweka kambi sehemu moja tu, unakwenda Zambia unapiga na Zesco, unaenda Kenya unapiga na Gor, unaenda Uganda na KCCA.
Nawatakia Watanzania wote sherehe njema za Eid El Fitr. Tusherehekee kwa amani na utulivu huku tukiyakumbuka na kuyaenzi mafunzo mema ya Mtume wetu (SAW) na yote tuliyojifunza wakati wa mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Mwenyezi Mungu awe nasi daima, Inshaallah.
Eid Mubarak.
Leo tunapompumzisha mpendwa wetu Hayati Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli kwenye nyumba yake ya milele, kwa yangu niaba yangu binafsi na niaba ya Watu na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, napenda kuwashukuru Watanzania wenzangu,
Viongozi wenzangu pamoja na Viongozi Wastaafu, Viongozi wa Nchi na Mashirika Mbalimbali ya Kimataifa, Viongozi wa Dini, Viongozi wa Kisiasa, Jumuiya ya Kidiplomasia, Vyombo vya Habari, wasanii na kila aliyekuwa nasi bega kwa bega wakati huu mgumu kwa Taifa letu.
Tafadhali pokeeni shukrani zetu za dhati na muendelee kuiombea roho ya Hayati Dkt. Magufuli ipumzike kwa amani na Mungu aendelee kuifariji familia yake.
Media Houses, artists, musicians and everyone who has supported comforted and sent us condolence messages during this difficult and trying times for our nation. May our good Lord grant our beloved late President eternal peace. Amen.
Today as we lay to rest our beloved President Dr. John Pombe Joseph Magufuli; on behalf of the People of the United Republic of Tanzania and on my own behalf i would like to thank fellow Compatriots; National Leaders, Religious Leaders, Political Leaders, Diplomatic Community,
Moja ya mtu aliyepingwa na Upinzani akiwemo Zitto kwamba naye ni fisadi ila anaogopwa na serikali ni ndg. Chenge. Pamoja na kuongoza kura za maoni kapigwa chini. Sasa Zitto anatwambia Chenge ni hazina na mtu muhimu bungeni kwa ajili ya kutunga katiba. Wapinzani bhana🤦♂️