KUMBUKIZI
Hivi ndivyo Rais wa Awamu ya Saba Dkt. Ali Mohammed Shein alivyotunuku kamisheni Subleftinant kwa KMKM, Luteni Usu kwa JKU na KVZ siku ya tarehe 08/10/2020 katika chuo cha KMKM Kama
TUTAKARABATI MADARASA KWA MUDA WA SIKU 14 TU COMMODORE MSINGIRI
Zaidi ya Bilioni 11 zitatumika kwa kufanyia ukarabati mkubwa wa skuli 22 za Kisiwa cha Unguja
Hayo yamesemwa na Mkuu wa KMKM Commodore Msingiri alipokuwa akikaguwa ujenzi unaoendelea katika skuli ya regeza mwendo
Maonesho ya Kazi zinazofanywa na taasisi za Serikali na watu binafsi yanayofanyoka leo trh 04/01/2024 kuanzia New Amaan Complex hadi Maisara MGENI rasmi Mhe Balozi Seif Ali Iddi Makamu wa Pili wa Rais Mstaaf wa Zanzibar
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe Hemed Suleiman Abdulla akifungua Jengo la Utawala la Makao Makuu KMKM Kamandi ya Kusini leo trh 30 Disemba 2023 saa 10 alaasiri
MKOA WA KUSINI UNGUJA
KIKOSI CHA KUZUIA MAGENDO KMKM KAMANDI YA KUSINI KIMEFANIKIWA KUKAMATA MAJAHAZI MAWILI YALIOBEBA BIDHAA ZENYE THAMANI YA ZAIDI YA SHILINGI MOLIONI 90 KATIKA ENEO LA KISIWA CHA MASONI.
WAZIRI MASOUD AVISHA VYEO MAAFISA 14 WA KMKM
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe Masoud Ali Mohammed Leo 22/11/2023 amewavisha vyeo Maafisa 14 wa KMKM Kwa ngazi za Luteni Kamanda kuwa Kamanda na Luteni kuwa Luteni Kamanda.
Commodore Msingiri Mkuu wa KMKM Zanzibar aelezea mafanikio ya miaka mitatu ya Serikali ya Awamu ya nane inayoongozawa na Dkt. Hussein Ali Mwinyi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Kamanda Mkuu Idara Maalum za SMZ
Mkuu wa KMKM Commodore Azana Hassan Msingiri amesema wananchi na Wapiganaji wa Vikosi vya SMZ watakopeshwa boti za faiba zinazotengezwa na Kiwanda cha Kikosi hicho endapo watapitia bank ya NMB kwa sababu tayari wamefanya makubaliano na bank hiyo.
Mkuu wa Opereshen KMKM Captain Hussein Moh'd Seif amemkabidhi jenzi inayosomeka KMKM bingwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi huko Kizimbani katika maonesho ya nane nane wakati Rais Dkt Mwinyi alipofika katika banda la maonesho la KMKM.
Mkuu wa KMKM Commodore Azana Hassan Msingiri amewashukuru Maafisa na Wapiganaji wa KMKM pamoja na wananchi Kwa ushirikiano makubwa waliounesha wakati wa ujenzi wa Kiwanda cha Mwani kwa Awamu ya Kwanza huko Chamanangwe Pemba