@Papitolife@KINGLUDA18@daudi10emmanuel Nasikitika Jna nimeangalia 1st half Tu kutokana na sbb zilizokua nje ya Uwezo lakn Kwa Umri huu wa Yamal bado kiwango anachokionesha nichamatumain kufikia level hizo
@BBABAVOZ@daudi10emmanuel@KINGLUDA18 Nilichokuwa najaribu kutia changamoto ni kuhusu kauli haitakuja tokea waweze kuwafikia wakati mmoja Yamal ana Umri mdogo sna labda tujadir nawao walpokuwa na Umri wa Yamal sijapinga kuhusu Uwezo wao Mess na Ronaldo ila tutoe muda kidogo bila hitimisho
Machache INTER VS BARCA
Inter wanategemea Counter attack na set pieces kma Kona faulo za kutokea pembeni karbu na goli kuwin kutokn na Maumbo makubwa ya Wachezaji wake dhid ya Wachezaji wa Barca pia udhaifu wa Barca kwenye Defence Kwa Upande wa Barca wao๐
BARCA Wanategemea kumiliki mpila lakn pia uwezo binafsi wawachezaji kma Yamal na Rafinha silaha kbwa ya Barca pia Ni utulivu wa Timu hata pale wanapotanguliwa Kwa Goli au magoli bado saikolojia yao Ipo juu sna hawaonyeshi kupanick wala kuutaka mchezo Kwa pupa๐
@daudi10emmanuel@KINGLUDA18 Kwenye angle nyngne Mess na Ronaldo walkua wanaonesha performance kbwa sna kwenye Club walishindwa kubalance Kwa National Team hivyo Vilabu vyao pia vilkua Watu kwel kwel wakuwasaport lakn hawa wanaonesha usawa wa performance had kwenye Timu zao za Taifa tsbr
@KINGLUDA18@daudi10emmanuel Ndio tusubir ss wafikishe age flan bado ni asubh sn Kwa Yamal ila binafsi ananipa matumaini Kwa kiwango anachokionesha kwenye National team na Club
@patooworldwide@daudi10emmanuel Inatakiwa tuseme had muda huu bado hawajafikia tusiweke hitimisho sabb bado Wana nafasi ya kufanya hayo Umri bado Sana hasa Yamal
@daudi10emmanuel@KINGLUDA18 Sitetei hawa madogo sabb mm mwenyewe nimewaona Mess na Ronaldo lakn haitakiwi kuufunga mjadala kabisa sababu Mda wa kufanya makubwa bado upo hasa Kwa Yamal nisawa na mechi Timu inaongoza dakka ya 5 Tu unasema mpinzani hataweza shinda