@Zephania_Ndaki Tatizo hujui kutofautisha Ushia na uislam, hao wa iran asilimia kama zote sio waislam wala wakristo bali ni washia hao.... nenda kasome vizuri
@mangekimambi Watu wanaleta udini tu wala hawajui kua Hao wairan asilimia kubwa na huyo Khomein sio wasilam wala wakristo bali ni Mashia, Ushia sio uislam .
@fumbokhanJr Tatizo na wee kichwani kwako kumejaa makamasi...
Asilimia kubwa ya Hao Wairan sio Waislam wala wakristo bali ni Washia. Ushia sio Uislam aisee Nenda kasome kwanza acha mihemko