Je nyumbani kwako kuna Asali mbichi ?
Chukua hatua leo ili kuimarisha Afya ya ngozi , ubongo, mifupa, misuli , kinga ya mwili ... nk
Asali Bora na utaipata @MisanBees
📲https://t.co/9FnAbx1AXm
📍Dsm,Tz
🛵 Delivery Dsm Ipo
#MisanHoney🍯 #MisanBees🐝
Kindly RT
TAARIFA KWA UMMA
Mtandao wa Mwanafunzi Tanzania (TSNP) tunapenda kuzindua Kampeni Ya "TUJADILI ELIMU YETU" kuchochea mabadiliko makubwa ya sekta ya Elimu Nchini
KARIBUNI WOTE
#TujadiliElimuYetu
Tanzania Youths From School Clubs & Human Rights Association in different Higher Learning Institutions all over the country Commemorating the 70yrs of UDHR with the Theme: Nurturing Young Human Right Defenders #YouthHRDsTZ2018 @darusoudsm @THRDCOALITION@humanrightstz
Tunahitaji kuona katika Taifa hili Vijana jeuri na wenye kujiamini. Na sio Vijana Waoga akina ndiyo Bw. Mkubwa; Vijana wenye uwezo wa kuhoji na kupiga Vita Mfumo wa Jamii usioshahabiana na Matakwa na Matamanio ya Jamii ya Kitanzania ~Mw. JK Nyerere
#YouthHRDSTz2018
#DearNyerere We are living in an era where the majority want answers to their unanswered cries in the political, social & economic aspects of life but the minority we who have entrusted with power are not ready to give any...
#NyerereDay
"Maswala yahusuyo haki za binadamu nchini yamebebwa na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tuendeleze juhudi za maboresho ya Katiba kwa kutoa maoni yetu ili tusiendelee kufifisha misingi, ulinzi na uboreshwaji wa haki hizi". Jenerali Ulimwengu| #SimamiaHaki@humanrightstz
Kwako Mhe. Rais @MagufuliJP, haya ni mapendekezo ya namna bora ya kujikwamua katika mkwamo wa #KatibaMpya kama yalivyoandaliwa na wataalamu. Tunaomba kuwasilisha. https://t.co/De0pvLLf2H
At the Strathmore Business school on a panel with Gerat women of Est Africa who include @RosebellK@fidakenya chair among others discussing women and leadership #ZINDUKAFEST2018