HaddyPro deals with selling and rental of Professional Audio systems, Stage Lightings, video production and Audio Visual services for all events in Tanzania.
I have joined @GnakoWarawara & Madam Leah as judges of #UnitalentShow premiering today (9pm) on Clouds TV.
This season (4) is the most exciting yet… with array of diverse talents from scholars across the nations. TUNE IN!!
@CRDBBankPlc@PrecisionAirTz@haddypro
Inaleta faraja sana kuona watu wanafanya top notch investment kwa kutuletea state of the art equipment & facilities, coupled with personnel wanaojua wanachofanya. SALUTE @haddypro
Earlier today kwenye rehearsals za @officialzuchu
@haddypro 👌🏾👌🏾
jamaa wana space za kufanyia mazoezi ya bendi. Yaani hata full orchestra inatosha.
Pia wanafanya live recording… ukitaka andaa live album.
Na Wanafanya set up za stage, sound, na kurecord live events as well.
Usibahatishe linapokuja suala la Mikutano yako Muhimu. Usikodishe vifaa vya umeme vyenye hadhi na ubora
Karibu kununua au kukodisha Regulated Power Supply bora kwa ajili ya matukio yote!
Tembelea: https://t.co/QOt4JJfam3 ili kununua au kukodisha leo!
Ubora wa Vifaa vya Kisasa ndio nguzo yetu kuu!
Karibu kununua au kukodisha Power Applifiers kwa ajili ya Spika au Taa za matukio yete makubwa!
Tembelea: https://t.co/QOt4JJfam3 ili kununua au kukodisha leo!
Usibahatishe linapokuja suala la Mikutano yako Muhimu. Usikodishe vipaza sauti au Conference System zisizo na ubora!
Karibu kununua au kukodisha Wireless Mics zenye ubora kwa ajili ya matukio yote!
Tembelea: https://t.co/QOt4JJfam3 ili kununua au kukodisha leo!
Multifunctional Speakers kwa ajili ya matukio yote zenye ubora wa kipekee kutoka HaddyPro Tanzania!
Tunauza na Kukodisha Spika za size zote kwa ajili ya matukio mbalimbali ya ndani na nje!
Tembelea tovuti yetu: https://t.co/QOt4JJfam3 ili kununua au kukodisha vifaa vya sauti
Mziki ambao hautaangusha tukio lako. HaddyPro tumejipanga kwa ajili yako!
Karibu HaddyPro Professional Audio. Tunauza na Kukodisha vifaa vyote vya sauti pamoja na taa kwa ajili ya matukio mbalimbali ya ndani na nje!
Unahitaji taa za jukwaani ili kunogesha tukio lako?
Karibu HaddyPro Professional Audio. Tunauza na Kukodisha Moving Head Light zenye remote kwa ajili ya matukio mbalimbali ya ndani na nje!
Unahitaji vifaa vya sauti pamoja na taa kwa ajili ya matukio mbalimbali kama harusi, makongamano n.k?
Karibu HaddyPro Professional Audio. Tunauza na Kukodisha vifaa vyote vya sauti pamoja na taa kwa ajili ya matukio mbalimbali ya ndani na nje!