Kwa mujibu wa International Diabetes Federation (IDF) Diabetes Atlas 2025, Tanzania ilikuwa na takribani watu wazima milioni 2.93 wenye kisukari mwaka 2024. Kinachotia wasiwasi zaidi ni kwamba takribani asilimia 60.2 ya watu wenye kisukari wanakadiriwa kuwa hawajagunduliwa.
Hii ina maana kuwa watu wengi wanaweza kuishi na kisukari bila kujua hali zao, huku wakijiweka katika hatari ya kupata madhara makubwa kiafya.
Kisukari kisipodhibitiwa kinaweza kuharibu figo taratibu bila dalili za wazi katika hatua za mwanzo. Tatizo linapogunduliwa kwa kuchelewa, mgonjwa anaweza kuhitaji matibabu ya gharama kubwa, yakiwemo kusafishwa damu kwa mashine (dialysis).
Madhara haya hayaishii kwa mgonjwa pekee. Yanaweza kuathiri uchumi wa familia, kuongeza mzigo kwa jamii, kupunguza nguvu kazi na kuongeza gharama za huduma za afya, hivyo kuathiri maendeleo na uchumi wa taifa kwa ujumla.
Swali ni hili, Je, tunaelewa kweli ukubwa wa tatizo hili na madhara yake kwa taifa ?
Short answer is, to the salafi, the house of the sahaba or the kings has no any significance, so is easier for the politicians of Saudi to make their grandparent's house as museum.
Demolishing or making either of the two as museum has no religious significance (political based)
Is it true @grok that Saudi has turned the area of Abu Bakr's (rn) home into a luxury mall and Khadija's (rn) home into a public restroom?
And is it true that the old homes of Saudi's founder Abd al-Aziz and his family have been preserved as museums?
Start with yes or no.
@swahilitimes Kwanza ilkua hakuna haja hata ya kukubaliana Wala nin, zilitakiwa inchi za ki Africa ziwe na raman zao zenye uhalisia sio maswala ya kuomba omba kila kitu. Sijui ni nani kapeleka pendekezo hilo
Kamaru Usman breaks down how he spent his first $1,000,000 in the UFC
• $30,000 — Daughter's Birthday & Nissan Maxima
• $20,000 — Rolex
• $200,000 — Coaches & Trainers
• $30,000 — Daughter's Education
• $500,000 — House
• $60,000 — Lost Investment
• $30,000 — Investing
• $80,000 — Range Rover
• $50,000 — Brother's Wedding & Investment
“Eternally grateful for this, but at the end of the day, it's just paper”
Soma yote half solution yake weka in this ascending order
1. Improvement in education budget from 3% to atleast 10% of national budget.
2. Strong improvement measure on mathematics and science subjects. 3.Geografical diversification of premium schools .
Niliandika Op-ed kwenye @Uchumi360 kuhusu inequality kwenye elimu hapa Tanzania.
Hoja yangu ni kuwa mtoto anayezaliwa Masaki na anayezaliwa Temeke siyo kwamba wana intellectual potential tofauti sana. Tofauti kubwa ipo kwenye economic na educational geography, nimeipa jina la postcode problem ambayo inatengeneza self-reinforced gaps for generations and generations.
My full opinion is on @Uchumi360 below.
Environmental group Greenpeace Africa has called for the suspension of approvals for Dangote’s planned $17B, 700,000-barrel-a-day refinery in Lamu pending an independent environmental assessment and public participation.
The group cited risks to mangroves, coral reefs, fisheries and coastal livelihoods.
https://t.co/v6yVQwPQXi
Tomorrow is going to be one of the worst Mondays in the last three months. With UFC Freedom at 3:00 AM and the Ivory Coast vs. Ecuador match at 2:00 AM, and work starting between 7:50 and 8:00 AM, most of us are going to be completely asleep at our desks
🇹🇿 Mtu aliyekuwa analipwa TSh 5,000,000 mwezi Desemba 2025 na bado analipwa TSh 5,000,000 leo (1 Juni 2026) amepunguziwa mshahara.
Kimya kimya.
Desemba 2025: 1 USD = 2466 TSH
TSh 5,000,000 = ~$2,028
Leo, June 1 2026: 1 USD = 2610 TSH
TSh 5,000,000 = ~$1,915
Ili ubaki na thamani ile ile ya mshahara wa Desemba, leo ungehitaji kulipwa karibu TSh 5,294,320.
Maana yake umepoteza karibu:
❌ TSh 294,320 kila mwezi
❌ TSh 3.5 milioni kwa mwaka
Bila kupunguza mshahara wako.
Bila kubadilisha kazi.
Ndiyo maana watu wengi duniani kwenye nchi mbali mbali wanaanza kuhifadhi sehemu ya akiba yao kwenye USD na stablecoins. - Yaani USDC AU USDT.
Sio kwa sababu wanapenda usd.
Ni kwa sababu hawataki pesa zao zipungue thamani.
Mimi naona kuna fursa kusaidia watu kununua tbills / UTT au public market stocks Tanzania ili waweze kupunguza hasara.
Kuna muda hua nakua serious nafatilia Bunge, mara anatokea mchangiaji ana changia kama alivyo changia Faza levo leo, Hapo hua nasemaga I'm too smart to laugh by this joke, acha nitafute Sci-fi ni enjoy